Sakata la Sugu na Blue: Nay wa Mitego amuomba Mr. Blue 'amuuzie kesi'

ney ana matatizo,,,hana hit song kwa sasa naona anatafuta kick kwa nguvu
 
Kama unataka kuzungumzia muziki sawa ila ujinga wa siasa za UKAWA na CCM mimi uko sipo maana naona hii ishu wengi imewapeleka kwenye utumwa wa siasa.
Siasa ipi wakati kila kitu kipo wazi. Sugu hakuwahi kuwa na wimbo unaoitwa freedom katika maisha yake wala hiyo idea mpaka pale alipoitwa na Blue kushirikishwa ndio akachukua wimbo alioitwa kushiriki hivi kuna ugumu gani hapo kuona Sugu huo wimbo haujawai kuwa wake mpaka aipousikia na kuuiba!?

Sugu kaiba wimbo na kwenye original version kafunikwa mbaya.
 

Uyo Blue kaibiwa nini idea,mashairi,beat?kama Sugu kafunikwa kwenye original version shida iko wapi kwenu mwambieni Blue afanye official realese kuliko kulia kama watoto wa kambo.
"If u dont know me,just dont talk about me"-Sugu(Freedom) alafu nenda kasikilize maelezo ya wenye studio na beat yao kisha uniambie uyo Blue alikua anamiliki nini.
 

kweli kabisa. Masifa kibao, sent 5 mfukoni huna, zinakusaidia nini. Ana point Sugu
 
Najikuta namuamini Mr blue. Hakuna cha natural justice hapa. Sugu hajamtendea haki kabisa huyo mdogoake
 
Najikuta namuamini Mr blue. Hakuna cha natural justice hapa. Sugu hajamtendea haki kabisa huyo mdogoake
Alafu anajiita muwakilishi wa Wanainchi, huku anaonea Wanainchi.
 
Gari la kuazimwa sio lako.. Blue karuhusiwa kuimba kwenye mdundo ukiwa na kiitikio na idea nzima ya wimbo, ILA HAKUMILIKISHWA WIMBO...

Haya ndio matatizo ya kupenda vya bure, unapewa lifti unataka kupiga na honi, sasa apewe recognition ya nini wakati idea ya wimbo, beat, na chorus si vyake???
 
Kama Sugu asingekua mwanamuziki wa tangu kitambo ningesema jamaa hajui kuimba ila kwa alivyoimba kiukweli kaimba vibaya...video ya kawaida sana...kwa kifupi jamaa nni old timer achane tu na muziki.....
 

Kwa hiyo mtu akikupa lifti ndio aanze kukudhalilisha ukiwa garini kwake....akwambie uvue viatu usichafue...usiegemee kiti....usifunge mkanda.....aingize Gari sheli alafu akulazimishe ununue mafuta........Kuliko huo ushetani ni bora angekupita tu.
 
Kwani hawa wasanii hawana uwezo wa kutunga nyimbo nyingine?au kwakuwa imekuwa sugu,huyo sugu hiyo nyimbo imempa kiasi gani hadi waigombanie,waache uvivu wasitafute umaarufu wa rahisi wachape kazi waandike,marco chali na producer wa hiyo nyimbo wameshasema nyimbo sio ya blue sasa nini shida
 

Unamaanisha Kesho sio wimbo wa Diamond maana alipewa bure hakulipia?
 
Tatzo Blue aliupotezea ule wimbo huku Sugu akimpigia na kumwambia mbona hana time na hyo ngoma haisukumi Blue akadai anamipango yke, na ngoma ilitoka kipindi kile cha uchaguzi nachohisi mm ni Blue aliona ataharibu mipango maana anaweza pata tenda za CCM alaf akaonekana Ukawa kutokana na kushirikiana na Sugu"
Kwaio akaona akaushe Sugu alichofanya ni poa 2 ngoma kali imesimama chupa ya maana mziki mzr..
Blue avunge tu kwanza alipewa nyimbo bure kwa heshima ye akachukulia easy 2
 
NA KAMA HILI SAKATA LIPO KWELI ,BASI KWA SUGU HIYO KIKI ATAIPATA MBONA TENA YA UKWEE...!
 

Huyu ney anauweza mziki wa sugu..?
Level zake kina dimpo na dai labda!
 
sugu ni next level hawezi kuhangaika na utoto wa clouds fm na swags za bongomovie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…