Sakata la Sugu na Blue: Nay wa Mitego amuomba Mr. Blue 'amuuzie kesi'

Nafikiri Mr. Blue amekuja kulalamika kuhusu huu wimbo baada ya kuona Sugu ameutoa na ume kick sana kwenye media kuliko version ile ya kwanza aliyotoa.
Pia mimi sioni tatizo. Mbona Adele alipotoa wimbo wa 'Hello' ndipo wasanii kibao wakatoa version nyingine kibao za Hello na mojawapo ya iliyopata jina ni ile ya Joe Thomas. Mbona hakulalamika?
Sioni tatizo
 
Ila Sugu ni mtu wa figisu sana kama Suge,huyo mpakaa hina hatamuweza Sugu. Sugu=Suge. Street thug,thug life. Huyo neema hiyo sio saizi yake.
Simkubali Sugu ila hizi bifu jamaa ni fundi sana.
 
Wanatafuta kick kwa mgongo wa Sugu
Bro!
Huwezi ukawa upo serious blue anatafuta kick kwa sugu kivp?? wakati blue mwenyewe bila hata ya kutoa nyimbo ni kick,chamsingi wakae chini watueleze ukweli mana isije ikawa siasa ishamchanganya muheshimiwa anaanza kuzingua kwenye nyimbo za watu.
 
Kosa ni la akina makochali kama sio wao sugu asingethubutu kuchukua wimbo wa mtu wale ndio wamemchochea baada ya blue kuleta mapozi katika kuutoa kwa muda mrefu.
Sugu akahisi blue anamringia nafikiri na muda unaenda. Ikamuudhi. Mtoto kama blue hapaswi kumuumiza kichwa mtu mzima mheshimiwa.

Wale ma dj wakaendekeza ushkaji na sugu. Wakamtengenezea mziki kimya kimya bila kumtonya blue. Ndio maana sugu akawaanika kimakusudi kabisa ndani ya video.
Hata jibu alilotoa ni kua wenye wimbo wako ndani ya video.[emoji108] [emoji2]
Some bullshit allegations[emoji2]
Blue hawezi bifu na sugu. Sugu ni jeshi akianzisha harakati mpaka nape ataingilia...
 
mh mbunge anagombea wimbo na vitoto, enzi za mwalimu ingekuwa sababu tosha ya kuachishwa ubunge
 
ulicho kiongea ni kuonyesha ni chuki kiasi gani ulizonazo kwa sugu,,pole sana na kwa taarifa yako blue nyimbo haikuwa yake na sugu alifata taratibu zote mpaka kurecord wimbo huo
 
mh mbunge anagombea wimbo na vitoto, enzi za mwalimu ingekuwa sababu tosha ya kuachishwa ubunge


Kwa kawaida mbunge huwa anachaguliwa na wananchi kwa njia ya demokrasia. Usifananishe ubunge na ualimu wa shule ya msingi unamuweka mtu akikuudhi unamuondoa tu unavyotaka wewe. Kasome tena Civics.
 
Ney naona unatafuta sababu ya kutokuja Mbeya, utapaona pachungu....Mbeya ni Sugu na Izzo B......Ney Ney shauri yako
 
Sugu unamjua wewe neema wa mitego? Unakumbuka pini lake la "I wanna kill you right now"?
 
Sikio la kufa halisikii dawa, sasa SUGU na hao ndege watamuweza kwa lipi kama DOLLAR anayo sembuse huyo anayeshindwa pesa ya kulipia studio.
 
Wasishindane na sugu hategemei muziki kuishi kama wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…