Sakata la Tuisila Kisinda

Sakata la Tuisila Kisinda

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
AMEANDIKA ANGETILE OSIAH KATIBU WA ZAMANI WA TFF.
20220906_080825.jpg
 
Mchezaji ambae amepata APPROVE ya TFF na kupewa Leseni anaweza kucheza Ligi ya Ndani Wakati Mchezaji ambae Ana Leseni ya CAF anacheza Ligi zote yaani Ya ndani na Caf kwa Maana ni Lazima kuwa na Leseni ya TFF katika Usajili wa CAF.

Na ukishakuwa na Leseni ya CAF na Dirisha la Usajili kubwa la CAF likawa limefungwa huwezi kutoa Jina lolote katika List zaidi ya kuongeza iwapo hujatimiza Idadi hitajishi ya usajili na haipaswi kuzidi wachezaji 7 tu. Na ieleweke Wazi Kwa Wachezaji wa Kigeni ili kupata Leseni ya TFF ni lazima CLUB kutozidisha Wachezaji zaidi 12.

Kipindi cha mpito cha usajili kinachokuwepo baada ya Dirisha kubwa la CAF kufungwa ni kwa ajili ya kuongeza tu sio vinginevyo ndio maana unaambiwa mchezaji atacheza hatua inayofuata hii ina kupa picha kuwa tayari usajili wa msingi ulishafanyika kabla.

Kwa Mantiki hiyohiyo huwezi kutoa au kufuta Leseni ya TFF pekeyake bila kufanya hivyo hivyo katika Leseni ya CAF, Sasa Kama muda wa kufanya hivyo kwa CAF umeshapita basi pia huwezi kuondoa kwa TFF itabaki kama ilivyo.

Ili kuweza kufanya mabadiliko inapaswa kusubiria Dirisha la CAF liwe wazi wakati mwingine na uweze kufanya Transfer au Kuvunja/kusitisha mkataba au makubaliano maalum yanayomshirikisha Mchezaji husika kwa maandishi.

Itambulike kuwa kuomba ITC ya mchezaji ni jukumu la Shirikisho kwa niaba ya Club na pia ITC ni moja ya Kigezo katika kupata Leseni ya TFF/CAF ila kuwa na ITC sio usajili unaweza kuwa/kupata ITC na usifanyiwe/kuombewa usajili na Club yako mifano ipo mingi Mfano ni Yacouba anayo ITC ila hajaombewa usajili na Club yake hivyo hana Leseni ya kucheza yeyote msimu huu bali bado ana mkataba na Club yake.

PLAY FAIR, BE POSITIVE
 
Kwani dirisha la usajili CAF limefungwa?
 
KUNA TATIZO KUBWA (TFF)

"Familia ya mpira ikiamua kutumia system ya matching katika transfer (TMS) basi ni lazima iheshimiwe"

"Mambo ya barua za zuio yalishamalizwa na (TMS). Sijui (TFF) imetoka wapi na mfumo huo wa barua. Usajili wa Tuisila Kisinda umekubaliwa na system ndani ya muda"

"TFF ndiyo iliyohusika kuomba (ITC) na ikapatikana ndani ya muda, inakuwaje TFF ndio ihusike tena katika kuweka pingamizi wakati imehusika kuleta ITC ?"

"Yanga imemuona mchezaji ameumia mazoezini na ripoti inaonesha jeraha lake ni la muda mrefu, (TFF) itailazimishaje Yanga iendelee na mchezaji huyo wakati imeshafanya uamuzi wa kumbadilisha ?!"

"Yanga iko ndani ya kanuni na mchezaji hajawasilisha pingamizi (TFF) kwamba muajiri wake kamtema, hiyo nguvu ya kumzuia inatoka wapi kama klabu ipo tayari kuendelea kumuuguza ?!"

"TFF inataka Yanga imtumie mchezaji ambaye ni majeruhi wakati muajiri wake ameshamuondoa kwenye usajili ndani ya muda ?!"

" KUNA TATIZO KUBWA (TFF)"

"Kama Mangungu aliituhumu (TFF) kuwa imeandaa bingwa wake, si alimaanisha kuwa inapanga matokeo ?! Kuna tuhuma kubwa kwenye soka kama kupanga matokeo ?! Kwa nini suala hilo halijafikishwa mbele ya kamati ya maadili mpaka leo ?!"

"Kuna tatizo kubwa kuliko tunavyoliona. Na mwisho, TFF inatumia kanuni gani kumzuia ?!"

[emoji2398]Angetile Osiah katibu mkuu wa zamani wa shirikisho la soka Tanzania (TFF).
 
Very simple logic, chukulia mchezaji mmoja wa kimataifa mkataba wake na Yanga unevunjika kwa sababu zozote zile ndani ya dirisha la usajili TFF wangeizuia Yanga kumsajili mchezaji mwingine ? TFF wanajipa kazi ngumu bila sababu za msingi. Ningekuwa mimi ndiye kiongozi wa TFF nnae husika na usajili ningehitaji tu document ya makubaliano ya Yanga na Kambole then nayafaili basi.
 
... Ningekuwa mimi ndiye kiongozi wa TFF nnae husika na usajili ningehitaji tu document ya makubaliano ya Yanga na Kambole then nayafaili basi.
Tatizo ilikuwa ni usiku sana walipomsajili Kisinda. Usajili wao walikuwa wanaufanya saa 6:01 usiku, ambapo tayari ni siku mpya 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom