Sakata la ujenzi wa jengo la ghorofa 19 ikulu: Nani wa kumfunga paka kengere?

Walitaifishe ziwe ofice za usalama afu watuajiri sisi vijana wenye sifa na uwezo wa kazi+maadili
 
Siku tutakapoamua kufuata sharia kuna watu wengi watakuwa majeruhi wa maamuzi yao yasiyotumia fikra...yangu macho! Thunderbolt strikes once...
 


WORD BROTHER :tape:
 
Ndugu yangu GeniusBrain siwezi kukulaumu kwani inadhihilisha ni kwajinsi gani akili yako ilivyolala na ndiyo maana huwezi hata kuipa muda wa kutafakari. Ila nashukuru kwamba umesoma na umeelewa nilichoongea ndiyo maana umecomment.

Kwani ikulu ikipigwa sisi watu wa vijijini kajamba nani tutapata hasara gani? shida zetu, karaha zetu, hatuna maji, hatuna masoko ya bidhaa zetu, watoto/wake zetu wanabakwa, usafiri tabu, huduma za afya ndo usiseme, tuna faida gani na ikulu?
 

Ili waweze kupata habari za kutosha kuhusu Rais na maisha yake jengo kama hili inafaa liwepo. Chanzo kikubwa kuwepo hali hii yaani kuruhusu jengo refu kuchungilia ikulu ya Rais ni rushwa. Sasa hivi kumekuwa na maofisa usalama wa taifa wengi ambao ni raia wa kigeni, ukiuliza waliingiaje huko jibu la siri siri ni rushwa. Hujifanya wanafanya "VETTING" upuuzi mtupu. Kama kungekuwa na Intelligence makini jengo hili lilitakiwa kutaifishwa na serikali kwa ajili ya usalama wa nchi. Ipo siku tutakuja kusikia Mh. Rais amepigwa risasi na hawa snipers wala tusishangae kabisa kwani haya tunayalea sisi wenyewe. Mungu Ibariki Tanzania bila kuingiliwa na wageni hadi ngazi ya serikali.
 
hivi hili jengo si ndio makazi ya wajumbe wa tume ya katiba au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…