Tetesi: Sakata la Ulaji NHIF limemwondoa Ummy?

A good move by Samia.The problem is wateule wake wana abudu fedha.Na hii inaletwa na vetting process yake,ni extremely poor.Ni vema akajifunza kutoka kwa Magufuli,alithamini zaidi weledi,si kujuana.Sasa mtu kama Ridhiwani,very incapable,anafanya nini kwenye Baraza la mawawziri,he should go.Kwanza hata historia yake inachafua taswira nzima ya Baraza la Mawaziri.Frankly Samia simuelewi,nadhani at most alipaswa kuwa Mwenyekiti wa UWT,sio kuiongoza nchi.Uraisi unahitaji weledi, busara,hekima na IQ kubwa.
 
Ila huyu mama mbaya sana kula fedha za matibabu ni kitu kibaya sana
 
Cha msingi ni kuzuia wizi wa fedha za michango ya wanachsma wa NHIF.
Unajua Kila jambo Lina namna ya kulioperate ili upaate ufanisi wake.Namna ya kuoperate shule ni tofauti na huduma za afya,tofauti na ujenzi wa mabarabara,tofauti na kuendesha mambo ya mazingira.Ok Serikali inatakiwa ijiendeshe,ijenge miradi ya kudumu,na itoe huduma za jamii zitakazolipiwa na Kodi inayotoka kwa Jamii,Ni wajibu wa serikali kutoa huduma za jamii kwa wote bila upendeleo wowote,Serikali inatakiwa itoe matibabu kwa watu wake na isiruhusu kwa namna yoyote raia wake kufa kwa kisingizio cha hakuna fedha.Suala la Bima ya afya ni "supplement"tu,ni kijazio tu, kimsingi walala hoi ndio wananaohitaji matibabu kwa msaada wa Bima kuliko ya Walichonacho,eti mtu mlala hoi ana Bima inayomwezesha kulipia Yale madawa ya bei ya chini kabisa na ya ubora wa chini,kwa tajiri hapa atachukua fedha zake nje ya bima atajitibu,kwa mlala hoi unajua kitakachotoke,Kuna mlala hoi hata akichangiwa na ukoo wake,wajomba na mashangazi hawawezi kuchanga tsh 500,000/=wengi wangeweza kuwa wanaishi leo lakini Wamekufa.Serikali ni yetu watoe huduma matibabu,aliyewapa wengine ndio aliyewanyima wengine,tuwe na bima ya afya inayochangia matibabu pale huduma ya afya ya serikali isippkidhi.
 
Kwa upigaji huu?
Napata tetesi pale Skanska Tegeta, mjengo unao simama kwa kasi, mama ananekana jioni/usiku!!
 
Sawa mkuu, lakini hapa tatizo ni mara mbili.
NHIF hata ukichangia umeliwa, na huduma ya serikali kutibu afya ina kikomo au haikidhi matarajio ya wananchi.
 
Magufuli huyu huyu jiwe ,au mwingine?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…