Tetesi: Sakata la Ulaji NHIF limemwondoa Ummy?

A good move by Samia.The problem is wateule wake wana abudu fedha.Na hii inaletwa na vetting process yake,ni extremely poor.Ni vema akajifunza kutoka kwa Magufuli,alithamini zaidi weledi,si kujuana.Sasa mtu kama Ridhiwani,very incapable,anafanya nini kwenye Baraza la mawawziri,he should go.Kwanza hata historia yake inachafua taswira nzima ya Baraza la Mawaziri.Frankly Samia simuelewi,nadhani at most alipaswa kuwa Mwenyekiti wa UWT,sio kuiongoza nchi.Uraisi unahitaji weledi, busara,hekima na IQ kubwa.
 
Sometimes incompetence inatokana na fear. Hofu kwamba akitenda ipasavyo, ataliwa kichwa na hao wenye nguvu ya pesa.

Baadhi ya watu kuonekana kuwa na nguvu ya pesa kiasi cha kuimiliki serikali kiganjani hutokana na ukweli kwamba serikali yenyewe ndiyo inakubali kuingia kwenye mtego na mfumo wao.

As they say, Huwezi kuikomesha rushwa iwapo ndiyo imekuweka madarakani.

Wafanyabiashara wengi wanakuja kwa viongozi kama wahisani wenye nia njema, huku nyuma ya pazia wakiwa wamepanga njama za kujinufaisha na kuwatokomeza wahisaniwa wao.

Kinachosikitisha zaidi ni pale ambao inatokea kwamba wafanyabiashara ndio hiyohiyo serikali na serikali ndiyo haohao wafanyabiashara.

Kwa maneno mengine serikali yenyewe inachanganya kiutendaji hadi kufikia hatua ya kutojua namna ya kujidhibiti yenyewe.

I said it before, I'll say it again! Serikali isiyoweka kipaumbele kwa umma wa watu, hiyo serikali ni kikundi tu cha wafanyabiashara wanaolinda maslahi yao binafsi kwa kutumia mamlaka za umma.
Ila huyu mama mbaya sana kula fedha za matibabu ni kitu kibaya sana
 
Cha msingi ni kuzuia wizi wa fedha za michango ya wanachsma wa NHIF.
Unajua Kila jambo Lina namna ya kulioperate ili upaate ufanisi wake.Namna ya kuoperate shule ni tofauti na huduma za afya,tofauti na ujenzi wa mabarabara,tofauti na kuendesha mambo ya mazingira.Ok Serikali inatakiwa ijiendeshe,ijenge miradi ya kudumu,na itoe huduma za jamii zitakazolipiwa na Kodi inayotoka kwa Jamii,Ni wajibu wa serikali kutoa huduma za jamii kwa wote bila upendeleo wowote,Serikali inatakiwa itoe matibabu kwa watu wake na isiruhusu kwa namna yoyote raia wake kufa kwa kisingizio cha hakuna fedha.Suala la Bima ya afya ni "supplement"tu,ni kijazio tu, kimsingi walala hoi ndio wananaohitaji matibabu kwa msaada wa Bima kuliko ya Walichonacho,eti mtu mlala hoi ana Bima inayomwezesha kulipia Yale madawa ya bei ya chini kabisa na ya ubora wa chini,kwa tajiri hapa atachukua fedha zake nje ya bima atajitibu,kwa mlala hoi unajua kitakachotoke,Kuna mlala hoi hata akichangiwa na ukoo wake,wajomba na mashangazi hawawezi kuchanga tsh 500,000/=wengi wangeweza kuwa wanaishi leo lakini Wamekufa.Serikali ni yetu watoe huduma matibabu,aliyewapa wengine ndio aliyewanyima wengine,tuwe na bima ya afya inayochangia matibabu pale huduma ya afya ya serikali isippkidhi.
 
Tetesi mitaani ni kwamba Ummy alishindwa kabisa ku manage fungu la fedha ndani ya NHIF.

Agha Khan walimvimbia na kuikataa NHIF kwa vile hawalipii huduma inayotolewa kwa wateja/wagonjwa walio dhaminiwa na NHIF.

Sakata nyuma ya skandali nzima ni kwamba waziri alilishwa asali na NHIF wakati behind the scene wafanyakazi ndani ya NHIF "wamejikopesha" zaidi ya 200bn, fedha za michango ya wachangiaji wa NHIF.

Mbaya zaidi hospitali nyingi zinaidai NHIF zaidi ya 60bn.

Hospitali moja mashuhuri DSM, SANITAS imefunga hospitali kutokana na madeni ya NHIF.

Mbaya zaidi NSSF wamemshitaki mkurugenzi wa hospitali hiyo kutokana na kushindwa kulipia wafanyakazi wake michango.

Mawaziri wengi na vingunge wanatibiwa Agha Khan, sasa huduma imesitishwa.

Mama Samia kashtuka almost too late!

Sasa Ummy out!
Kwa upigaji huu?
Napata tetesi pale Skanska Tegeta, mjengo unao simama kwa kasi, mama ananekana jioni/usiku!!
 
Unajua Kila jambo Lina namna ya kulioperate ili upaate ufanisi wake.Namna ya kuoperate shule ni tofauti na huduma za afya,tofauti na ujenzi wa mabarabara,tofauti na kuendesha mambo ya mazingira.Ok Serikali inatakiwa ijiendeshe,ijenge miradi ya kudumu,na itoe huduma za jamii zitakazolipiwa na Kodi inayotoka kwa Jamii,Ni wajibu wa serikali kutoa huduma za jamii kwa wote bila upendeleo wowote,Serikali inatakiwa itoe matibabu kwa watu wake na isiruhusu kwa namna yoyote raia wake kufa kwa kisingizio cha hakuna fedha.Suala la Bima ya afya ni "supplement"tu,ni kijazio tu, kimsingi walala hoi ndio wananaohitaji matibabu kwa msaada wa Bima kuliko ya Walichonacho,eti mtu mlala hoi ana Bima inayomwezesha kulipia Yale madawa ya bei ya chini kabisa na ya ubora wa chini,kwa tajiri hapa atachukua fedha zake nje ya bima atajitibu,kwa mlala hoi unajua kitakachotoke,Kuna mlala hoi hata akichangiwa na ukoo wake,wajomba na mashangazi hawawezi kuchanga tsh 500,000/=wengi wangeweza kuwa wanaishi leo lakini Wamekufa.Serikali ni yetu watoe huduma matibabu,aliyewapa wengine ndio aliyewanyima wengine,tuwe na bima ya afya inayochangia matibabu pale huduma ya afya ya serikali isippkidhi.
Sawa mkuu, lakini hapa tatizo ni mara mbili.
NHIF hata ukichangia umeliwa, na huduma ya serikali kutibu afya ina kikomo au haikidhi matarajio ya wananchi.
 
A good move by Samia.The problem is wateule wake wana abudu fedha.Na hii inaletwa na vetting process yake,ni extremely poor.Ni vema akajifunza kutoka kwa Magufuli,alithamini zaidi weledi,si kujuana.Sasa mtu kama Ridhiwani,very incapable,anafanya nini kwenye Baraza la mawawziri,he should go.Kwanza hata historia yake inachafua taswira nzima ya Baraza la Mawaziri.Frankly Samia simuelewi,nadhani at most alipaswa kuwa Mwenyekiti wa UWT,sio kuiongoza nchi.Uraisi unahitaji weledi, busara,hekima na IQ kubwa.
Magufuli huyu huyu jiwe ,au mwingine?!
 
Back
Top Bottom