we jamaa bana na majibu yako...kwani tunaishi kipindi cha nyerere nn tv ipo kwa raisi tusisikie hayo mashow unayoyaongelea..anyhow Get rich or die trying acha dogo asake kivyovyoteSema kwa jamaa kiwango alichojiwekea cha kupiga show kwa 12m hata akipata show 5 tu kwa mwezi still anatusua 60m.
Sasa kwa mwaka ni bei gani ataingiza hapo kwa average hio maana ikumbukwe pia dogo anachakarika sana. Sio kuwa anatoa hit 1 kwa mwaka mzima hadi anasahaulika. Yeye ana mfululizo wa hits kwa maana shows hazikauki kila kukicha wanam book kwa hela ndefu.
Lakini hili ni Kaburi la 2013; LIMEFUKULIWA!Yaani ukikosoa sirikali lazima utatengenezewa zegwe la namna yeyote na ikibidi watakutoa kwenye mstari wa mafanikio, Mungu atusaidie jamani
mtaje dunia imfahamuHuu utajiri wa kuibuka kama huyo nina wasi wasi na mdada mwingine msanii
Mkuu usifanye hivyo bhanaNiliwahi kuishi Mbeya, hawa wakina Mwakyembe wengi akili zao ziko kama ulanzi wanaokunywa.
Vuguvugu la kujaribu kuisafisha Tanzania kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na yakipee. Mh Mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga, moja kati ya majina yanayosemekana ya wauza unga/punda ambayo yapo ktk kitengo internal intelligency lipo jina la msanii Diamond.
Inasemekana Diamond anaurafiki wa karibu na mabosi wa Masogange, ambao wengine wapo sauz sitowataja na ambao ndo waliusafirisha mwili wa Mangwea. kamera za CCTV za uwanja wa JNA zimekuwa zikionesha ukaribu wa Diamond na wale watu waliotajwa na waziri kuwa walimsaidia Masogange kupitisha mzigo.
Pia safari za kimuziki sehemu mbalimbali duniani ambazo nyingi hupangwa/kutafutwa na vigogo wa madawa ya kulevya waliopo tanzania na wale waliopo sauzi(ambao wasanii wa bongo fleva wanawafaham).
Wakati huohuo serikali inajaribu kuchunguza akaunti za Diamond ambazo zinaonekana kubwa mno kulinganisha na kipato cha kawaida cha wasanii.
Uchunguzi bado unaendelea, lakini Diamond amekanusha kuhusika na sembe
Mwakyembe ulifikia wapi kwenye Uchunguzi?
Aiseee !!Uchunguzi bado unaendelea.
aiseee yametimia leoVuguvugu la kujaribu kuisafisha Tanzania kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na yakipee. Mh Mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga, moja kati ya majina yanayosemekana ya wauza unga/punda ambayo yapo ktk kitengo internal intelligency lipo jina la msanii Diamond.
Inasemekana Diamond anaurafiki wa karibu na mabosi wa Masogange, ambao wengine wapo sauz sitowataja na ambao ndo waliusafirisha mwili wa Mangwea. kamera za CCTV za uwanja wa JNA zimekuwa zikionesha ukaribu wa Diamond na wale watu waliotajwa na waziri kuwa walimsaidia Masogange kupitisha mzigo.
Pia safari za kimuziki sehemu mbalimbali duniani ambazo nyingi hupangwa/kutafutwa na vigogo wa madawa ya kulevya waliopo tanzania na wale waliopo sauzi(ambao wasanii wa bongo fleva wanawafaham).
Wakati huohuo serikali inajaribu kuchunguza akaunti za Diamond ambazo zinaonekana kubwa mno kulinganisha na kipato cha kawaida cha wasanii.
Uchunguzi bado unaendelea, lakini Diamond amekanusha kuhusika na sembe
Tutasikia mengi sana mwaka huu.