King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Naona ugonjwa haujapata tiba na mganga bado hajazaliwa,daily ni mkatomkato mara oooh HATUWATAJI SASA COZ HATUNA USHAHIDI so nani mwenye ushahidi na hawa wasanii mbona watu wana mihela na maaseti kibao lakini hawakaguliwi na kutiliwa mashaka?nani wa kukamatwa punda au mmafia?jibu baki nalo
Umofia kwenu JF,
Sakata la ngada limechukua sura mpya baada ya wasanii wengine kujumlishwa,akichezesha taya mwandishi wetu na mkuu wa kitengo cha ngada amewataja wasanii hao ni Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji na mwingine mnyange wema sepetu chanzo cha kuchunguzwa gazeti la visa limesema kwamba masanja mali zake ni utata mtupu anatumia kivuli cha uchungaji na wema wanasema kuji showoff kwa mponza,msanii wa kwanza kuchunguzwa ni diamond ambaye kuna tetesi kwamba ameshanyang'anywa passport yake
source:gazeti la visa
ki ukweli watu wengine ukiangalia biashara zao na maisha yao wanayoishi,ni vitu tofauti.mfano mtu utakuta ana kijiduka tu cha kubabaisha lakini maisha anayoishi ni ya juu kulingana na biashara zake.mimi njaamini kuna mengine nyuma ya pazia

Veeeery siriaz, nadhani tumelogwa
Off topic:...na wanunuzi wa hizi dawa ni hawa hawa mateja ninaowajua mimi i.e wale wa temeke,magomeni,ilala,ngaranaro,kwa mama jphn and the lik,..ama kuna wengine wa masaki,mikocheni,mbezi,njiro,...and the like,....maake ninapatwa na kigugumizi pale wanaposema eti kila tatu(3 kg) za unga then thamani yake ni zaidi ya 4 bil.....just curious to know...!
This is very serious_then..!
Yaani hata Masanja naye ni mchungaji na kuna watu wanamuamini kweli_ooooh God give me a sign....in the name of Jesus.
Umofia kwenu JF,
Sakata la ngada limechukua sura mpya baada ya wasanii wengine kujumlishwa,akichezesha taya mwandishi wetu na mkuu wa kitengo cha ngada amewataja wasanii hao ni Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji na mwingine mnyange wema sepetu chanzo cha kuchunguzwa gazeti la visa limesema kwamba masanja mali zake ni utata mtupu anatumia kivuli cha uchungaji na wema wanasema kuji showoff kwa mponza,msanii wa kwanza kuchunguzwa ni diamond ambaye kuna tetesi kwamba ameshanyang'anywa passport yake
source:gazeti la visa
kuna wengine wanaonunua wala sio hao mateja kwa mfano kuna mmoja anaitwa Zungu
maeneo ya ITV,mwingine yuko Mwenge karibu na tuition ya Mapambano
wao ni ma agent then wao ndo wnawauzia wale mateja wa mwenge na wa kwingineko:majani7::majani7:,
na wale wanaishia tu kuharibikiwa mtu anatembea kutoka mwenge hadi tegeta,tegeta to mwenge kuokota makopo
akirudi pesa zote zinaenda kwa hao jamaa,wenyewe wanaendelea kula Good life hawa wanasota.........
Yule Jamaa Ni Con Artist
Nimebaki na kigugumizi haki ya nani Lol!!!!!kumbe hata mimi naiweza hii shughuli ya uponyaji
Please tell ts not true my friend King Kong III