Sakata la unga wasanii wakubwa watatu matatani

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu JF,

Sakata la ngada limechukua sura mpya baada ya wasanii wengine kujumlishwa,akichezesha taya mwandishi wetu na mkuu wa kitengo cha ngada amewataja wasanii hao ni Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji na mwingine mnyange wema sepetu chanzo cha kuchunguzwa gazeti la visa limesema kwamba masanja mali zake ni utata mtupu anatumia kivuli cha uchungaji na wema wanasema kuji showoff kwa mponza,msanii wa kwanza kuchunguzwa ni diamond ambaye kuna tetesi kwamba ameshanyang'anywa passport yake.

source: Gazeti la visa
 
Naona ugonjwa haujapata tiba na mganga bado hajazaliwa,daily ni mkatomkato mara oooh HATUWATAJI SASA COZ HATUNA USHAHIDI so nani mwenye ushahidi na hawa wasanii mbona watu wana mihela na maaseti kibao lakini hawakaguliwi na kutiliwa mashaka?nani wa kukamatwa punda au mmafia?jibu baki nalo
 
ndio hvyo wanachunguzwa vuta subira
 
Umofia kwenu JF,
Sakata la ngada limechukua sura mpya baada ya wasanii wengine kujumlishwa,akichezesha taya mwandishi wetu na mkuu wa kitengo cha ngada amewataja wasanii hao ni Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji na mwingine mnyange wema sepetu chanzo cha kuchunguzwa gazeti la visa limesema kwamba masanja mali zake ni utata mtupu anatumia kivuli cha uchungaji na wema wanasema kuji showoff kwa mponza,msanii wa kwanza kuchunguzwa ni diamond ambaye kuna tetesi kwamba ameshanyang'anywa passport yake
source:gazeti la visa

Yaani hata Masanja naye ni mchungaji na kuna watu wanamuamini kweli_ooooh God give me a sign....in the name of Jesus.
 
Hapo yupo kwenye uponjaji

1235050_461227907309312_1001732574_n.jpg

MASANJA.jpg
578451_461476697284433_127953808_n.jpg
 
ki ukweli watu wengine ukiangalia biashara zao na maisha yao wanayoishi,ni vitu tofauti.mfano mtu utakuta ana kijiduka tu cha kubabaisha lakini maisha anayoishi ni ya juu kulingana na biashara zake.mimi njaamini kuna mengine nyuma ya pazia
 
si bora hata hao wenye viduka vya kuzugia,wengine hawana chochote wanachofanya lakini hiyo migari na mijumba na starehe za kila siku,utachoka.
 
ki ukweli watu wengine ukiangalia biashara zao na maisha yao wanayoishi,ni vitu tofauti.mfano mtu utakuta ana kijiduka tu cha kubabaisha lakini maisha anayoishi ni ya juu kulingana na biashara zake.mimi njaamini kuna mengine nyuma ya pazia

Off topic:...na wanunuzi wa hizi dawa ni hawa hawa mateja ninaowajua mimi i.e wale wa temeke,magomeni,ilala,ngaranaro,kwa mama jphn and the lik,..ama kuna wengine wa masaki,mikocheni,mbezi,njiro,...and the like,....maake ninapatwa na kigugumizi pale wanaposema eti kila tatu(3 kg) za unga then thamani yake ni zaidi ya 4 bil.....just curious to know...!
 
kuna wengine wanaonunua wala sio hao mateja kwa mfano kuna mmoja anaitwa Zungu

maeneo ya ITV,mwingine yuko Mwenge karibu na tuition ya Mapambano

wao ni ma agent then wao ndo wnawauzia wale mateja wa mwenge na wa kwingineko:majani7::majani7:,

na wale wanaishia tu kuharibikiwa mtu anatembea kutoka mwenge hadi tegeta,tegeta to mwenge kuokota makopo

akirudi pesa zote zinaenda kwa hao jamaa,wenyewe wanaendelea kula Good life hawa wanasota.........
 
Umofia kwenu JF,
Sakata la ngada limechukua sura mpya baada ya wasanii wengine kujumlishwa,akichezesha taya mwandishi wetu na mkuu wa kitengo cha ngada amewataja wasanii hao ni Emmanuel Mgaya aka Masanja Mkandamizaji na mwingine mnyange wema sepetu chanzo cha kuchunguzwa gazeti la visa limesema kwamba masanja mali zake ni utata mtupu anatumia kivuli cha uchungaji na wema wanasema kuji showoff kwa mponza,msanii wa kwanza kuchunguzwa ni diamond ambaye kuna tetesi kwamba ameshanyang'anywa passport yake
source:gazeti la visa

Please tell me ts not true my friend King Kong III
Hawa wasanii wamezidi mashauziiiiii
 
Last edited by a moderator:
kuna wengine wanaonunua wala sio hao mateja kwa mfano kuna mmoja anaitwa Zungu

maeneo ya ITV,mwingine yuko Mwenge karibu na tuition ya Mapambano

wao ni ma agent then wao ndo wnawauzia wale mateja wa mwenge na wa kwingineko:majani7::majani7:,

na wale wanaishia tu kuharibikiwa mtu anatembea kutoka mwenge hadi tegeta,tegeta to mwenge kuokota makopo

akirudi pesa zote zinaenda kwa hao jamaa,wenyewe wanaendelea kula Good life hawa wanasota.........

You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx
 
Please tell ts not true my friend King Kong III

ts true wanachunguzwa,ila wema na diamond wana blow money kinoma,kila siku wanachoma zaidi ya m hata kama show na movie sio kihvyo ngada inahusika ngoja taasis husika wawachunguze.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom