Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx

Wachunguzwe na wale waliotoka texas na kufanya matanuzi na harusi ya kifahari wakitumia usafiri wa helcopter the mzirays King Kong III
Madawa ya kulevya yanatumiwa na watu wa rika na madaraja tofauti katika masha.Kuanzia ombaomba wa mitaani,wanafunzi wa shuleni mpaka vyuoni,makahaba,wazazi na viongozi wa familia zao,wasanii,viongozi wa dini,wanasiasa(hawa na watoto zao pia),matajiri nk.
Kwa hiyo usifikiri hizo billioni unazotaja zinatoka kwa wapiga debe wa Sinza tu,lahasha,si umesikia yule msanii mnenguaji,juzi tu kasema mwenyewe,kapoteza nyumba tatu na usafiri wake kwa ajiri ya uteja.Tuombe kila siku,
na tujitahidi kwa uwezo wetu wote kuangalia watoto zetu wasije kujiingiza kwenye hii kitu.
okay kumbe hii ilikuwa point yako,kuna watumiaji wengine pia lakin
huwa nasikia pia hizi sembe zina magrade yake pia na price ina base the same way[/QUOTE]
Nimekupata vema sasa,...
You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx
mgahawa wao uko wapi na unaitwaje kama unaridhisha siku nikapate msosi na friends.Ha ha ha ha wale walikuwa wanapiga hela za wazungu huko Houston Hela zao ni za kimagumashi ya kipopo hawajawah piga dili za ngada ila Mkewe mziray(cynthia) ni rafiki sana wa wema labda baada ya kuwa deported inawezekana wema kamshawish ajiunge lakn hawa wana biznes ya mgawaha wao tu na kukodisha magari,mike kafua ndo maana gari zake anaanza kuuza chezeiya bongo weiwe.
King Kong III ule mgahawa si wao ndugu si unaongelea catalunya....Hahahaha ule ni wa mjomba yao muuza sembe maarufu sema anaishi maisha ya kujificha..ndo maana wengi hawamjui wanajua ni wa wale jamaaa..wana kaka yao mkubwa anaitwa Andrea kauza sembe ss hivi anatumia na yy.Hahahaha na ukute ndo wanadanganya wenzao hivyo....uwiiii..those r my ndugu fresh n blood....yn ukiwapima damu yao na yangu genes zile zile....km vipi twende PM mwanawaneee...Ha ha ha ha wale walikuwa wanapiga hela za wazungu huko Houston Hela zao ni za kimagumashi ya kipopo hawajawah piga dili za ngada ila Mkewe mziray(cynthia) ni rafiki sana wa wema labda baada ya kuwa deported inawezekana wema kamshawish ajiunge lakn hawa wana biznes ya mgawaha wao tu na kukodisha magari,mike kafua ndo maana gari zake anaanza kuuza chezeiya bongo weiwe.
mgahawa wao uko wapi na unaitwaje kama unaridhisha siku nikapate msosi na friends.
Uko nyuma ya kwa kakobe...sio wao ni wa mjomba yao..sema wanashinda pale si hawana issue/office town...Hahahaha
Yaani hata Masanja naye ni mchungaji na kuna watu wanamuamini kweli_ooooh God give me a sign....in the name of Jesus.
This is very serious_then..!
You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx
Wanamuziki wa kweli ni wakina Ngurumo. Hadi wanastaafu hawana kitu. Na wameimba miaka 53. Hawa miaka michache tu mihela.ki ukweli watu wengine ukiangalia biashara zao na maisha yao wanayoishi,ni vitu tofauti.mfano mtu utakuta ana kijiduka tu cha kubabaisha lakini maisha anayoishi ni ya juu kulingana na biashara zake.mimi njaamini kuna mengine nyuma ya pazia
Nimekubali kumbe CATALUNYA sio wao? Daaaa nilijua ni wa kwaoKing Kong III ule mgahawa si wao ndugu si unaongelea catalunya....Hahahaha ule ni wa mjomba yao muuza sembe maarufu sema anaishi maisha ya kujificha..ndo maana wengi hawamjui wanajua ni wa wale jamaaa..wana kaka yao mkubwa anaitwa Andrea kauza sembe ss hivi anatumia na yy.Hahahaha na ukute ndo wanadanganya wenzao hivyo....uwiiii..those r my ndugu fresh n blood....yn ukiwapima damu yao na yangu genes zile zile....km vipi twende PM mwanawaneee...