Sakata la unga wasanii wakubwa watatu matatani

mkondo huu nimrefu sana kuuzima kirahisi rahisi...inatakiwa ianzie serikalini...walete sheria kama za china kunyongwa halafu wanawanyonga live wawili watatu..,utaona hata mateja watapona bila kwenda rehab...hii kitu inamlolongo wa watu mbalimbali kuanzia wangazi zajuu mpaka chini kwa walala hoi napia iko ktk sekta mbalimbali wahusika wamejimix humo.,so kuizima fasta ningumu....
 
Wachunguzwe na wale waliotoka texas na kufanya matanuzi na harusi ya kifahari wakitumia usafiri wa helcopter the mzirays King Kong III
 
Last edited by a moderator:
You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx

okay kumbe hii ilikuwa point yako,kuna watumiaji wengine pia lakin

huwa nasikia pia hizi sembe zina magrade yake pia na price ina base the same way
 
You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx

Madawa ya kulevya yanatumiwa na watu wa rika na madaraja tofauti katika masha.Kuanzia ombaomba wa mitaani,wanafunzi wa shuleni mpaka vyuoni,makahaba,wazazi na viongozi wa familia zao,wasanii,viongozi wa dini,wanasiasa(hawa na watoto zao pia),matajiri nk.
Kwa hiyo usifikiri hizo billioni unazotaja zinatoka kwa wapiga debe wa Sinza tu,lahasha,si umesikia yule msanii mnenguaji,juzi tu kasema mwenyewe,kapoteza nyumba tatu na usafiri wake kwa ajiri ya uteja.Tuombe kila siku,
na tujitahidi kwa uwezo wetu wote kuangalia watoto zetu wasije kujiingiza kwenye hii kitu.
 
Wachunguzwe na wale waliotoka texas na kufanya matanuzi na harusi ya kifahari wakitumia usafiri wa helcopter the mzirays King Kong III

Ha ha ha ha wale walikuwa wanapiga hela za wazungu huko Houston Hela zao ni za kimagumashi ya kipopo hawajawah piga dili za ngada ila Mkewe mziray(cynthia) ni rafiki sana wa wema labda baada ya kuwa deported inawezekana wema kamshawish ajiunge lakn hawa wana biznes ya mgawaha wao tu na kukodisha magari,mike kafua ndo maana gari zake anaanza kuuza chezeiya bongo weiwe.
 
Last edited by a moderator:
Madawa ya kulevya yanatumiwa na watu wa rika na madaraja tofauti katika masha.Kuanzia ombaomba wa mitaani,wanafunzi wa shuleni mpaka vyuoni,makahaba,wazazi na viongozi wa familia zao,wasanii,viongozi wa dini,wanasiasa(hawa na watoto zao pia),matajiri nk.
Kwa hiyo usifikiri hizo billioni unazotaja zinatoka kwa wapiga debe wa Sinza tu,lahasha,si umesikia yule msanii mnenguaji,juzi tu kasema mwenyewe,kapoteza nyumba tatu na usafiri wake kwa ajiri ya uteja.Tuombe kila siku,
na tujitahidi kwa uwezo wetu wote kuangalia watoto zetu wasije kujiingiza kwenye hii kitu.

Ndio maana nikauliza mkuu,..maake mateja siwaoni huko masaki,mikocheni,mbezi,njiro & co....ila hapa sasa nimeelewa mkuu.
 
You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx

Good observation.
 
Ha ha ha ha wale walikuwa wanapiga hela za wazungu huko Houston Hela zao ni za kimagumashi ya kipopo hawajawah piga dili za ngada ila Mkewe mziray(cynthia) ni rafiki sana wa wema labda baada ya kuwa deported inawezekana wema kamshawish ajiunge lakn hawa wana biznes ya mgawaha wao tu na kukodisha magari,mike kafua ndo maana gari zake anaanza kuuza chezeiya bongo weiwe.
mgahawa wao uko wapi na unaitwaje kama unaridhisha siku nikapate msosi na friends.
 
King Kong III ule mgahawa si wao ndugu si unaongelea catalunya....Hahahaha ule ni wa mjomba yao muuza sembe maarufu sema anaishi maisha ya kujificha..ndo maana wengi hawamjui wanajua ni wa wale jamaaa..wana kaka yao mkubwa anaitwa Andrea kauza sembe ss hivi anatumia na yy.Hahahaha na ukute ndo wanadanganya wenzao hivyo....uwiiii..those r my ndugu fresh n blood....yn ukiwapima damu yao na yangu genes zile zile....km vipi twende PM mwanawaneee...
 
Last edited by a moderator:
mgahawa wao uko wapi na unaitwaje kama unaridhisha siku nikapate msosi na friends.

Uko nyuma ya kwa kakobe...sio wao ni wa mjomba yao..sema wanashinda pale si hawana issue/office town...Hahahaha
 
Me nilidhani ni wa kwao ili nikamuungishe cynthia..kama sio wao basi.
Ila pesa waliyovuna huko kwa obama inaonesha ni ndeeefu maana bata wanazokula ni hatare na pesa haikatiki tu.
 
queenkami wala usihangaike...hela zina mwsho..mike keshaanza kuuza gari zake..chezea bongo unatumia halafu huingizi unategemea nn....tupogo
 
Last edited by a moderator:
Yaani hata Masanja naye ni mchungaji na kuna watu wanamuamini kweli_ooooh God give me a sign....in the name of Jesus.

Kuna mihela huko....we...we...we...we.....

USIPIME.........
 
Serikali ilichukilie hili suala seriously,vinginevyo siku za usoni nchi yetu itakuwa ni nchi ya mateja,punda na wauza sembe! Mimi huwa najiuliza pia inakuwaje vijana wanafanikiwa kwa ghafla hivi au mimi ndiyo na mkosi? Sasa nimeshajua jibu sahihi!
 
This is very serious_then..!

You missed my point my lovely sister_ni hiviiiiiiiiiiiiii...huwa najiuliza kama mzigo wa kilo tatu(only 3 kg) unakuwa na thamani ya zaidi ya mabillion manne(>4 bill)...is it true kwamba walaji/matumiaji wa huo unga ni hao mateja ambao wengi ni maskini tu ama kuna watumiaji wengine wenye pesa mingi ndio wanapandisha thamani ya hizo dawa za kulevya eg,..marais,mawaziri,wakurugenzi,wafanya biashara wakubwa etc,..etc....au hii madawa ya kulevya ina kazi ingine zaidi ya kubwia......but thanx

" mzigo wa kilo 3 hauwez kuwa na thaman ya 4bil , ule ulokamatwa juz south afrika ulikuwa kilo 120 thaman yake 6.2 bil iweje kilo tatu uwe na 4bil. Haifiki , just imagine kilo 120 jamam viloba vya unga vingap vinapita kirahisiiii a.port lol
 
ki ukweli watu wengine ukiangalia biashara zao na maisha yao wanayoishi,ni vitu tofauti.mfano mtu utakuta ana kijiduka tu cha kubabaisha lakini maisha anayoishi ni ya juu kulingana na biashara zake.mimi njaamini kuna mengine nyuma ya pazia
Wanamuziki wa kweli ni wakina Ngurumo. Hadi wanastaafu hawana kitu. Na wameimba miaka 53. Hawa miaka michache tu mihela.
 
King Kong III ule mgahawa si wao ndugu si unaongelea catalunya....Hahahaha ule ni wa mjomba yao muuza sembe maarufu sema anaishi maisha ya kujificha..ndo maana wengi hawamjui wanajua ni wa wale jamaaa..wana kaka yao mkubwa anaitwa Andrea kauza sembe ss hivi anatumia na yy.Hahahaha na ukute ndo wanadanganya wenzao hivyo....uwiiii..those r my ndugu fresh n blood....yn ukiwapima damu yao na yangu genes zile zile....km vipi twende PM mwanawaneee...
Nimekubali kumbe CATALUNYA sio wao? Daaaa nilijua ni wa kwao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom