Sakata la unga wasanii wakubwa watatu matatani

dada Heaven on earth, angalia usije tafutwa!!
 
Last edited by a moderator:
wakati Masanja kajichimbia usangu anakung'utwa vumbi la hatari na jua baya akilima kwa miezi kadhaa na kimya kimya kainua kijitofali chake,tugari tuwili tutatu........tayari anasukuma sembe!??kuna watu wana fursa,mitaji mikubwa na kila kitu for that kind of investment na wako tu dar na vi hardware...wanaotoka bila kelele wanaonekana wahalifu!!

wabaya pia wamo ila kwa hili la masanja,dogo anaonewa!kawekeza vizuri sana na anakula matunda yake sasa!
 
" mzigo wa kilo 3 hauwez kuwa na thaman ya 4bil , ule ulokamatwa juz south afrika ulikuwa kilo 120 thaman yake 6.2 bil iweje kilo tatu uwe na 4bil. Haifiki , just imagine kilo 120 jamam viloba vya unga vingap vinapita kirahisiiii a.port lol

Znatofautiana grade,n kweli unakuta kilo 3 inashik Bilion coz ya ubora wake,kitu brown n mkas mrefu,sema mateja weng wa huku hawapig kitu chenyewe,wanatumia dawa X wanaimix na bangi,
 
Hii ndo hasara hakuzaa injee ya ndoa , lazma upAte watoto kama hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…