Mbona Ugiriki inamiliki s-300 na hatujaona kelele kwa hao unao waita nato?Aache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.
Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Kipindi wanajeshi wake wanauawa Syria na vikosi vya Asad mbona hiyo nato haikuthubutu kubweka.Usalama wa taifa gani wakati yupo NATO.
akitaka uhuru huo atoke NATO aone kama Kuna mtu atamkataza kununua silaha Russia.
Huo ndo unafiki yaani upo NATO lakini unataka uwasaidie adui wa NATO.
Ahaaa eti apigwe hivi una dhani vita ni kitu rahisi namna hiyo.Aache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.
Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Kwa Geographia ni kuwa, sehemu kubwa ya Uturuki ipo Asia kuliko Ulaya.Safi sana sana! Uturuki imekuwa kama sio nchi iliyo Ulaya kwa ustaarabu. Imekaa kama Iran vile.
Yes ila kisiasa?Kwa Geographia ni kuwa, sehemu kubwa ya Uturuki ipo Asia kuliko Ulaya.
Usalama wa taifa gani wakati yupo NATO.
akitaka uhuru huo atoke NATO aone kama Kuna mtu atamkataza kununua silaha Russia.
Huo ndo unafiki yaani upo NATO lakini unataka uwasaidie adui wa NATO.
Mkuu kwa sasa ni vigumu kumchapa! Kama mwanachama wa NATO anajua siri zote za kijeshi za NATO na achilia mbali kuzijua siri za NATO nadhani sasa hivi yuko vizuri katika Technology ya silaha.Aache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.
Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Uturuki anachapika kirahisi Sana. Kule katika mgogoro wa Mediterranean na ugiriki alivojifanya mbishi walitaka wamchape aka omba poo.Mkuu kwa sasa ni vigumu kumchapa! Kama mwanachama wa NATO anajua siri zote za kijeshi za NATO na achilia mbali kuzijua siri za NATO nadhani sasa hivi yuko vizuri katika Technology ya silaha.
Sema vikwazo vinatosha kumnyosha mpaka ashike adabu.
Tukubali kuwa,Russia kwa huu mtambo wa S-400 inatisha!
NATO walimtuma avamie Syria?? Apambane na hali yake. NATO hawakusaidii ukiwa outside your country unilaterally.Kipindi wanajeshi wake wanauawa Syria na vikosi vya Asad mbona hiyo nato haikuthubutu kubweka.
Kwa sasa mifumo ya ulinzi ya marekani haiaminiki tena maana imesha ionesha udhaifu mkubwa kwenye medani za kivita .
Na si Uturuki ata Pakistan ambaye kwa miaka mingi imekuwa mshirika wa Marekani sasa hivi ameacha kununua silaha Marekani.
Ugiriki alinunua s300 lini??Mbona Ugiriki inamiliki s-300 na hatujaona kelele kwa hao unao waita nato?
Trump administration ipo against China at all aspects, so this is out of the question.Vipi kuhusu china maana nae kawawekea vikwazo alivyonunua huo mfumo wa ulinzi kwa ne yupo NATO?
Nadhani hii S-300 siyo kitisho sana kwa NATO kuliko hii upgraded S-400Ugiriki alinunua s300 lini??
CAATSA Ilikuwepo??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uturuki wakukuletea ufara kaanike Siri ZOTE za NATO,, IRANI afu utaona baraa la Waajemi[emoji2960][emoji2960]Mkuu kwa sasa ni vigumu kumchapa! Kama mwanachama wa NATO anajua siri zote za kijeshi za NATO na achilia mbali kuzijua siri za NATO nadhani sasa hivi yuko vizuri katika Technology ya silaha.
Sema vikwazo vinatosha kumnyosha mpaka ashike adabu.
Tukubali kuwa,Russia kwa huu mtambo wa S-400 inatisha!
Mifumo ya ulinzi ya marekani imeonesha udhaifu mkubwa sana ,sasa hivi hakuna aliye tayari kuuweka usalama wa taifa lake rehani eti kwa ajili ya kuifurahisha Mare
Kwani USA anateseka nini na uo mfumo wa kiulinzi? Alitoa mkopo ukatumiwa vibaya au?
Fwatilia historia ya USA na URUSI alafu ukimaliza fwatilia sakata la kumpindua rais wa uturuki.Dunia kweli uwanja wa fujo, US hajachangia ata Mia mbovu, sijui anateseka na kipi?
"sanjari na zuio la mikopo kutoka katika mashirika ya fedha ya kimataifa kama vile World Bank." How is this possible?