Trump administration ipo against China at all aspects, so this is out of the question.
Twende tu utaelewa na india je maana nae kanunua na vikwazo kapewa pia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump administration ipo against China at all aspects, so this is out of the question.
Hatuwezi kufanya mambo yetu kwa kuogopa historia, changamoto za wakati huu ndio zimemfanya uturuki anunue hiyo S-400, sasa US anachoangaika ni kipi? ebu atulie tuliFwatilia historia ya USA na URUSI alafu ukimaliza fwatilia sakata la kumpindua rais wa uturuki.
Kwani rais wa marekani ni nani!???
Hata hujaelewa anyways katika hayo niliyo kutajia ongezea hili...Hatuwezi kufanya mambo yetu kwa kuogopa historia, changamoto za wakati huu ndio zimemfanya uturuki anunue hiyo S-400, sasa US anachoangaika ni kipi? ebu atulie tuli
Sawa mbona ata ujerumani ni member wa NATO, lakini ananunua mafuta na Gesi Urusi? wa muache Uturuki anunue atakacho, Uturuki wamejiridhisha S-400 ni bora katika kujilinda, asie Mturuki anabishaHata hujaelewa anyways katika hayo niliyo kutajia ongezea hili...
Uturuki ni member wa NATO na Urusi ni adui/mpinzani wa NATO!
Sasa unga doti tena...
Najaribu kukupa uhalisia hata mimi sipendi ubabe wa kijinga wa USA!Sawa mbona ata ujerumani ni member wa NATO, lakini ananunua mafuta na Gesi Urusi? wa muache Uturuki anunue atakacho, Uturuki wamejiridhisha S-400 ni bora katika kujilinda, asie Mturuki anabisha
Braza wapi hatuelewani, hizo pesa za mafuta na Gesi kutoka kwa Ujeruman ndio Urusi anatumia kutengeneza silaha anazomuuzia Uturuki , sasa vip US hili jambo anafumbia macho? Au ndio Ujerumani ameshikwa pabaya lazima apige goti kwa Urusi apate mafutaNajaribu kukupa uhalisia hata mimi sipendi ubabe wa kijinga wa USA!
Alafu huwezi linganisha mafuta na silaha!
Hivyo ni vitu viwili visivyo na uhusiano yanapokuja maswala ya usalama na maslahi ya NATO.
Endelea kuunga doti tu... utaelewa!
US zilipendwaUturuki atasanda, hapo bado Biden hajaapishwa. Yaani watajua kua hawajui.
Biden ata activate CAATSA, Yaani huyo sultan uchwara ataelewa Shoo maamae
Kama atakujibu unitag MKUUMbona nimeuliza swali rahisi sana?
Uturuki kafanya kosa gani mpaka ww ufurahie kuwekewa vikwazo?
Hizo ngonjera nyingine achana nazo.
Facts...Kwa nje, ni vikwazo sababu ya S-400, ila kwa ndani vita baridi kati ya USA against Turkey.
Hii ishu imeanzia kwenye failed coupe d'etat, ikaja ishu ya wakurd na pia kucounter influence ya turkey middle east ambayo inatishia interest za marekani
Achapwe nanani hehehe hakuna wakumchapa wataishia kujidanganya tu navikwazo vyao uchwara.....Aache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.
Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Hawez kukujibu haya madini aseee Paula PaulKipindi wanajeshi wake wanauawa Syria na vikosi vya Asad mbona hiyo nato haikuthubutu kubweka.
Kwa sasa mifumo ya ulinzi ya marekani haiaminiki tena maana imesha ionesha udhaifu mkubwa kwenye medani za kivita .
Na si Uturuki ata Pakistan ambaye kwa miaka mingi imekuwa mshirika wa Marekani sasa hivi ameacha kununua silaha Marekani.
Mkuu huyo haelewi hata anauliza niniTrump administration ipo against China at all aspects, so this is out of the question.
Mkuu huyo haelewi hata anauliza nini
Hivi uturuki unaisikia ama unahadithiwa?,,uturuki ishawahi kuinyuka karibu ulaya nzima na ilizipiga Russia na kuteka maeneo kibao,kama crimea,bosnia,turkeministan etc,uturuki ni nchi yenye jeshi la kueleweka,usiichukulie poaAache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.
Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Beef ya Turkey na US ilianza baada ya kufail kwa njama za kumpindua Endorgan ambazo zilisaidiwa na US,,tangu hapo mturuki akajua US hayuko nae kwa 100%,ndo kisa cha uturuki kuanza kununua air defence ya mrusi,,kwani kabla ya hapo,alikuwa kila akiweka order ya Patriot air defence,, marekani alikuwa akipiga chenga,,na akiwambia uturuki wasiwe na hofu kwani uturuki italindwa kwa air defence za NATO,,,kumbe marekani alitaka uturuki ibaki weak bila air defence ili siku wakikosana iwe rahisi kwa marekani kuishambulia uturuki,,so waturuki walishituka,Aache ku destabilize NATO, kwa kushirikiana na maadui wa NATO na kuwa provoke NATO members.
Hilo ndo kosa kubwa alishaonywa mara kadhaa lakini erdogan anajikuta kichwa ngumu, sasa vikwazo ndo vitampa akili, na akiendelea atachapwa.
Hivi S_400 unazani inaweza msaidia chochote uturuki zidi ya USA.???Beef ya Turkey na US ilianza baada ya kufail kwa njama za kumpindua Endorgan ambazo zilisaidiwa na US,,tangu hapo mturuki akajua US hayuko nae kwa 100%,ndo kisa cha uturuki kuanza kununua air defence ya mrusi,,kwani kabla ya hapo,alikuwa kila akiweka order ya Patriot air defence,, marekani alikuwa akipiga chenga,,na akiwambia uturuki wasiwe na hofu kwani uturuki italindwa kwa air defence za NATO,,,kumbe marekani alitaka uturuki ibaki weak bila air defence ili siku wakikosana iwe rahisi kwa marekani kuishambulia uturuki,,so waturuki walishituka,
India haja nunua S-400 na hatanunua kamwe. Na vikwazo alivyo pewa turkey ni fundisho kwa wengine ili Wasi subutu.Swali lipo wazi sana india kawekea vikwazo kununua mfumo wa ulinzi kutoka russia logic behind ni ipi kwa upande wa india?