Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Binafsi naona yule Bwana anaedaiwa kutekwa huenda atakuwa amegusa wanasiasa na kilichomtokea huenda ni kutekeleza matakwa ya wanasiasa na ndio maana kinachoendelea katika hili sakata kwa sasa ni kama mchezo wa kuigiza kwani hata weledi wa wahusika kulishughulikia umekosokena na sasa ni full comedy.
Bahati mbaya sana naona hata Zitto nae ameshindwa kusoma alama za nyakati na sasa anaanza kujenga imani na RPC kwa tamko lake huku akisema tatizo ni ZPC.
Najiuliza ni kweli RPC anaweza kuongea alichoongea bila ruhusa ya boss wake ambae ni ZPC?
Zitto,ni wewe au kuna mtu ame-hack akaunti yako huko mtandaoni?
Ziito, ninachokioana kwako ni kuwa humkubali kabisa ZPC, ila usiingie kwenye huu mtego wa kuamini au kutaka kutuonyesha kuwa RPC ni bora kuliko ZPC wakati wote hawa ni watoto wa baba mmoja(jipe muda wa kupima na kutafakari).
Ama kweli siasa ni somo gumu kuliko hesabu mpaka Zitto nae sasa haelewi!!
Anyway,tuache muda utasema.