Sakata la viongozi wa CCM kulazwa mahabusu lachukua sura mpya

Katiba ni muhimu sana ona ccm wanapiga police utafikiri sio chama cha siasa wako juu ya sheria
 
Ndugu wakigombana shika jembe kalime,wakipatana shika kapu kavune.CCM na hao majamaa si ni ndugu kabisa jamani?Au nasema uongo ndugu zanguni
 
Hawa mbwa wakifanyiwa chochote kibaya siwezi kusikitika wala kuwaonea huruma..... Ccm ni chama cha kishetani
 
Katiba /kanuni za UVCCM zinamtaja kijana ni yule mwenye umri kuanzia mingapi mpaka ngapi?
Wewe kumbe huwajui CCM. Huku wanawaambia watawaliwa wao kijana ni yule mwenye umri chini ya 35 Ila wao Katibu wa UVCCM ana 46. Ajabu ni pale JK alipoingia madarakani 2005 akiwa 55yrs na wakatuambia wametuletea rais kijana. Juzi Chile wamemchagua kijana wa miaka 35 kuwa Rais wao hapa CCM wangeteambia wamempata Rais mtoto. Ipo siku watatwambia Wasira ni Katibu UVCCM Bunda.
 
Ccm ni genge la kihuni na la kihalifu linalolindwa na policcm na vyombo vyote vya dolw
 
Katiba /kanuni za UVCCM zinamtaja kijana ni yule mwenye umri kuanzia mingapi mpaka ngapi?
Hili jambo japo ni nje ya mada naomba niliongelee na mimi

Kumekuwa na uhuni wa kuwapora vijana sifa yao ya kuitwa vijana badala yake wanaenda kuitwa vijana watu ambao ni wa makamo tena wengine hata umakamo wamepita haswaa

Mwaka stina moja Nyerere alikuwa kiongozi lakini sijawahi kusikia kama aliitwa kijana... yeap! Hawakumuita kijana kwakuwa waliona kabisa amekuwa mtu mzima wa makamo rejea wakina Carl Peters na wakoloni wengine wote waliokwepo enzi hizo utakuta walikuwa na miaka 30s lakini hawakuitwa vijana.

Kwa akili yangu kukitajwa vijana mara nyingi nawaza kuwaona watu wenye umri wa 18-25-30 lakini wapi, sivyo!

Mfano utasikia waziri kijana au raisi kijana au sijui mwenyekiti wa vijana taifa mara katibu wa vijana ccm chadema mara... vijana vijana vijana lakini ukifuatilia wote hao unakuta mwenye umri mdogo kabisa kupita wote ana miaka 42

Imekuwa kama wimbo neno vijana lakini ukienda kuoneshwa hao vijana wenyewe unakuta mibaba haswa sasa sijui ina maana gani kujifichia kwenye neno VIJANA
 
Yoyote kwa yote polisi kwa sasa imani kwetu ime pungua sana.
Kama mna weza kumsingizia mtu kesi ya kigaidi na kutoa ushahidi wa uongo, mna shindwaje kusingizia kesi ndogo ya kushambuliwa?
 
Akizungumzia maoni ya wana CCM hao, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga amesisitiza kuwa askari huyo alipigwa na bado wako kwenye uchunguzi wa suala hilo.
[emoji1787]
 
Shida ni huu uhusiano haramu wa Polisi na CCM. Viongozi na wanachama wa CCM huichukulia Polisi kama mbwa wao. Kuna siku mmiliki wa mbwa huichapa mbwa akihisi imekosea. Hili likiachwa kuna siku madhara makubwa zaidi yatakuja kutokea.
 
Ccm Polisi wakiwachoka mtajuta
Ccm na mgogoro wa ardhi wapi
Na wapi? Pgo ccm inasemaje?
Ccm siku zenu zina hesabika!!!
 
Huyo shahidi alikuwa anautolea wapi huo ushahidi?kwani tayali kesi ishaenda mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…