Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Ishu hii ikiwa kweli maana yake orodha ya watumishi wenye vyeti tata itaongezeka, maana kuna watumishi wa kada zingine walishare vyeti na polisi, magereza, uhamiaji etc etc.
 
Nami hilo wazo lilinijia cose police wameshea sana nawalim na manesi kwenye vyeti[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom