Ishu hii ikiwa kweli maana yake orodha ya watumishi wenye vyeti tata itaongezeka, maana kuna watumishi wa kada zingine walishare vyeti na polisi, magereza, uhamiaji etc etc.

Duh kuna afande mmoja namjua yupo pale moshi ngoja nimsubiri mtaani yaani ni kiherehere balaa anakamata watu ovyo kwa kosa la kubambikwa !! Magu oyeeee