Sakata la Wapenzi wa Diamon kurusha chupa stejini

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
.
Monday, 12 August 2013 13:08 , Written by Sue Watiri (Writer)

  • [*=center]

If you were at Diamond's Mombasa concert you probably saw the drama that ensued after Diamond delayed his performance.Bottles were flung,opening acts were booed and bouncers and fans shoved.It was a pandemonium!

So you wonder what led to Diamond being delayed?Apparently the concert was delayed because the 'Nataka Kulewa' singer was being a total diva.It is said that Diamond deliberately stalled in Tanzania therefore missing his plane to Kenya, he then demanded a private jet from the Nation Media Group. NMG had to bend over backwards and charter a private jet for the Tanzanian Superstar.

Diamond soon landed in Mombasa and refused to check in into the Mombasa Beach Hotel where a room had been booked for him. The hotel was also the venue for his concert.In true prima donna fashion Diamond insisted that he had to be booked into a presidential suite in the breath-taking White Sands Hotel which cost NMG an arm and a leg.

After his demands were met ,Diamond finally took to the stage and it was worth all the trouble because like a true diva he gave a performance that can only be described as legendary. The rogue crowd calmed down and was soon singing alongside to his songs word- by -word

Despite the glitch, Diamond gave his fans a tantalizing show and one they will not forget anytime soon...

<font color="#000000"><span style="font-family: Helvetica"><span style="font-family: inherit">[video=youtube_share;5lrkTZfLH88]http://youtu.be/5lrkTZfLH88[/video]

Wow Our DIAMOND sasa ni Prima Donna haswa... agoma ndege za abiria na kutaka PRRIVATE JET's; Halali Hotel za Vyumba vya kawaida isipokuwa PRESIDENTIAL SUITE... Yeah More POWER 2 HIM...

na Alipotokeza kila Mshabiki anaimba na yeye kila WIMBO -- What a SUPERSTAR... Tanzania tumebarikiwa eh... hadi Waimbaji wetu ni DHAHABU..
.
 
tatizo hivyo vitu wanavyoanza kudai ndivyo vinavyowaangusha in a very short while
 
Huyu kijana ana matatizo mawili, kwanza elimu na pili wasimamizi.
Elimu yake inamnyima nafasi ya kuungalia ulimwengu katika kona tofauti.
Hana wasimamizi (manager) wanaoweza kumshauri vema.

Hakuna sababu ya kuleta maringo ya kuchelewa ndege, kutaka private jet au presidential suite sijui. Anapokwenda Kigoma analala wapi. Alichotakiwa kupewa ni chumba cha heshima

Hao NMG waliomwalika wapo katika biashara. Hawawezi kutoa gharama wakabaki na faida isiyokidhi haja halafu kesho wakamwalika tena Diamond. Hapa anaua soko lake mwenyewe.

Akina Oprah wanatembea bila kujulikana, akina Timberlake unaweza kupishana nao na wal usijue, huu anaoufanya ni ulimbukeni.

Ajiuilize yuko wapi Kanda Bongoman, Bozi Boziana, akina Wenge musica n.k.
Haya ni mambo ya mapito lazima atulize akili.

Well said mkuu...
 
Safi diamon,husikubali kutumiwa tengeneza stastus,jipandishe thamani mwenyewe..big up
 
kwani wanaposaini mikataba ya show haya mambo ya usafiri na malazi huwa hayapo? Manake naona kama vile wanam-potray dogo kuwa ana maringo wakati huenda alikuwa anadai haki yake.....
 
Wow Our DIAMOND sasa ni Prima Donna haswa... agoma ndege za abiria na kutaka PRRIVATE JET's; Halali Hotel za Vyumba vya kawaida isipokuwa PRESIDENTIAL SUITE... Yeah More POWER 2 HIM...

na Alipotokeza kila Mshabiki anaimba na yeye kila WIMBO -- What a SUPERSTAR... Tanzania tumebarikiwa eh... hadi Waimbaji wetu ni DHAHABU..
.

na si kwa mombasa tu.ni popote aendapo
 
Huyu kijana ana matatizo mawili, kwanza elimu na pili wasimamizi.
Elimu yake inamnyima nafasi ya kuungalia ulimwengu katika kona tofauti.
Hana wasimamizi (manager) wanaoweza kumshauri vema.

Hakuna sababu ya kuleta maringo ya kuchelewa ndege, kutaka private jet au presidential suite sijui. Anapokwenda Kigoma analala wapi. Alichotakiwa kupewa ni chumba cha heshima

Hao NMG waliomwalika wapo katika biashara. Hawawezi kutoa gharama wakabaki na faida isiyokidhi haja halafu kesho wakamwalika tena Diamond. Hapa anaua soko lake mwenyewe.

Akina Oprah wanatembea bila kujulikana, akina Timberlake unaweza kupishana nao na wal usijue, huu anaoufanya ni ulimbukeni.

Ajiuilize yuko wapi Kanda Bongoman, Bozi Boziana, akina Wenge musica n.k.
Haya ni mambo ya mapito lazima atulize akili.

unatokwa tu povu hukijui unachokiongea..better ungekaa kimya
 
na si kwa mombasa tu.ni popote aendapo

Yeah LONDON pia Ungesikiliza Mahojiano yake na yule Dada wa LONDON jinsi ilivyo ghali ku arrange talk meeting nae na pia GHARAMA za kumleta LONDON...

Kweli kama DIAMOND anasema kweli alivyonavyo... Basi kafungulia Macho wote wenye Talents hawakuwa na akili za kucharge bei hizo Talents zao
 
Huyu kijana ana matatizo mawili, kwanza elimu na pili wasimamizi.
Elimu yake inamnyima nafasi ya kuungalia ulimwengu katika kona tofauti.
Hana wasimamizi (manager) wanaoweza kumshauri vema.

Hakuna sababu ya kuleta maringo ya kuchelewa ndege, kutaka private jet au presidential suite sijui. Anapokwenda Kigoma analala wapi. Alichotakiwa kupewa ni chumba cha heshima

Hao NMG waliomwalika wapo katika biashara. Hawawezi kutoa gharama wakabaki na faida isiyokidhi haja halafu kesho wakamwalika tena Diamond. Hapa anaua soko lake mwenyewe.

Akina Oprah wanatembea bila kujulikana, akina Timberlake unaweza kupishana nao na wal usijue, huu anaoufanya ni ulimbukeni.

Ajiuilize yuko wapi Kanda Bongoman, Bozi Boziana, akina Wenge musica n.k.
Haya ni mambo ya mapito lazima atulize akili.

Hating too much,

Nadhani hayo uliyoyaorodhesha ndiyo yanayowatofautisha wewe na yeye, yaani wewe una elimu na usimamizi mzuri na ndio maana upo hapo ulipo na yeye hana ndio maana yupo hapo alipo.

Busara ni kusubiri kumsikia na yeye anachosema badala ya kukimbilia kuhukumu kwa maelezo ya upande mmoja.

Nijuavyo mimi kila kizuri kina gharama, utamuelewa vipi mtu atakayekuja kwako na kukwambia anauza range rover evoque mpya kwa tsh milioni mbili ?.....kama ni mtu mzima na una akili timamu basi kitu cha kwanza utakachoweza kufanya ni kumuomba arudie alichosema, then nadhani kuepusha shari utajiondokea.....nadhani shughuli yake umeiona hapo kwenye video.

Na iwapo kuna alichokosea basi bado hata wewe unaweza kutoa ushauri afanye nini next time....nionavyo mimi bado ana nafasi ya kutafuta ushauri kwa waliomtangulia, na wazoefu wa mambo ya burudani iwapo kama alizengua.....sidhani kama kuna tatizo kuuuuuuuubwa hapa.
 
kweli mkuu umeongea ukweli mtupu..
 
Hapa sina sababu yoyote ile ya kum hate Diamond. Nimeona wengi kabla ya Diamond hajazaliwa sasa nimchukie kwanini! Nilichofanya ni kumpa ushauri tu.

Nitakueleza kwanini nasema hana elimu, sijui kama umewahi kuona interview zake na mambo mengine yanayohusu weledi. Sasa nikisikia anataka presidential suite huwa nabaki nikicheka tu

Lakini basi hivi kuna 'ughali' wa kuchelewa eneo la tukio? Huko kwenye music Hollywood msanii huwa na hofu ya kufika katika tukio kwa wakati, Diamond anachelewa ili akodiwe jet na kuwa ghali, phwee!.

Anyway, nilichosema ni kumsaidia yeye na mameneja wake kama wapo kuwa lazima waheshimu taratibu.
Mziki ni kazi na kazi ni heshima. Hao wataalam wa apple wanalala na kudamkia maofisini ukiambiwa pesa yao kwa siku utashangaa iwe Diamond kufika katika tamasha kwa wakati!!!.

Nimemshauri narudi sina sababu zingine kwa huyu mtoto. Hilo tu
 
mkuu Nguruvi3 hivi kuna kitu hapa akijawekwa wazi kabisa hasa makubaliano ya diamond na waandaa show maana sidhani kama angeweza kuomba kinyume na makubaliano kuna mambo ambayo hayawekwi wazi kwenye hili swala kabisa.

To me, diamond kuomba presidential suit was too much na kama kweli alijichelewesha huu ni ujinga sana.
Na nitaendelea kushangaa kama mambo aliyo yaomba diomond yalikuwa kinyume na makubaliano na wao wakaamua kufanya.
 
Last edited by a moderator:

Hapa umeongea vema na kushadidia hoja yangu kuwa meneja wake naye ni tatizo kubwa. Kwanza kwanini waingie makubaliano yasiyo wazi? Hiyo ni kazi ya meneja na msanii.

Pili, suala hili linavuvuga taswira yake, je meneja amelitolea ufafanunuzi?
Kuna uwezekano yupo mtu Malawi au Ghana ambaye angependa kuingia mkataba na Diamond, sasa akisoma habari za private jet kutoka Tanzania hadi Ghana, halafu presidential suite na kuchelewa katika show anaweza kuogopa, kumbe si kweli.

Nabaki na hoja yangu na kuwa kuna tatizo la elimu na utawala. Utawala unaweza kuwa kwa mtu au kikundi.
Elimu si physics bali uwezo wa kuangalia mambo kwa mtazamo kutoka 'angle' tofauti.

Yeye anaweza kuona ni jambo rahisi , amepiga show na kukonga nyoyo lakini je consequences zake ni zipi mbele ya safari? Sidhani show ya mombasa na Nairobi ndio dunia yake yote.
 
hakika Nguruvi3. ni wazi hii habari kama watu waneisoma vyema ni wazi inamchafua diamond maana mwandishi ameonesha diamond ni mtu wa kulinga na ni mtu wa kwenda kinyume na makubaliano na anaye jikweza kupita kiasi.

Ni kweli kwenye hili inabidi meneja au diamond mwenyewe anatakiwa atoe ufafanuzi maana mwandishi ameonesha kuwa diamond ni mwanamuziki kigeugeu na asiye jua nini maana ya makubaliano, na huyu mwandishi amemuharibia japo mwisho kampamba lakini dhima yake ilikuwa kuonesha jinsi diamomd alivyo na ujinga.

Na hili swala litamuharibia na wengi wanaweza kufurahi kuwa kapambwa kumbe ukisoma kwa makini utagundua mwandishi anajaribu kumpaka matope.

Kwa swala hili ni vyema wakatolea ufafanuzi maana litamwalibia biashara kabisa.

Diamond amepata nafasi asijaribu kuichezea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom