Hotel nyingi za Zanzibar haina vyote hivyo.
- Wanaume waliingiaje chumbani kwake?
- Alilala bila kulock mlango wake maana milango mingi hotel za kitalii ni electronic
- Je hotel hiyo haina camera za usalama?
- Je hotel haina ulinzi?
Nughu weweStupid
Tulishindwa wapi?
Niko zanzibar mimi?
Mzee unataka kubishana wakati dada ana evidence zote?Mie si mtu wa kuabudu sana wageni so hzo clip mpaka nizione ndo naweza sema kama si mtengeneza jambo. Kinyume cha hapo tuache chuki kwa jeshi letu la polisi.
Polisi ccm ndo inakulinda nawe
Your very young and naive. You dont get the point.. why alalamike mitandaoni? Huko kwako hakuna vyombo vya sheria? Hakuna ubalozi wa Tanzania huko Nigeria..alienda kutoa malalamiko yake? We leo hii ukibakwa utapost instagram au utaenda kwenye vyombo vya sheria???Hiyo hapo chini alipost kwenye account yake ya insta June 2021. Ingawa hakuweza kuelezea in details kama alivyofanya sasa, sababu hakua sawa mentally & psychologically, na hilo linaeleweka. Mnaosema target ni royal tour vipi ilikuepo kipindi hicho? Kuwa mzalendo haina maana ufumbie macho mpaka upuuzi unaofanyika nchini.
"It’s high time I told my horrible experience in Zanzibar as a young solo female traveler.
This incident happened a year ago in April of 2021 but I haven’t been able to talk about it cause I’ve been in therapy for a year to heal from the psychological trauma"
Kipi kisichoeleweka hapo?View attachment 2190470
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini umesoma tweets zake uko twitter na clips alizoziweka?Vita ya biashara
Wakenya ni wazuri sana wa fitna
She has to prove everything au ipigwe kesi against her
Tukiacha hizi drama mambo yatazidi
Acha us*nge, labda nikubake wewe pengine utaelewa aliyopitia huyo dada. Iwe kalalamika mtandaoni au kwenye ma**ko yako lengo lake limetimia, dawa ishaingia mahala pake, na bila shaka hatua stahiki zitachukuliwaYour very young and naive. You dont get the point.. why alalamike mitandaoni? Huko kwako hakuna vyombo vya sheria? Hakuna ubalozi wa Tanzania huko Nigeria..alienda kutoa malalamiko yake? We leo hii ukibakwa utapost instagram au utaenda kwenye vyombo vya sheria???
Alikuwa anajitibia madhara ya kisaikolojia yaliyomkuta. Soma Tena utauona huo mstari. Na usimhukumu Kwa kuchukua muda mrefu kuandika kilichomkuta kwani kutibu post traumatic disorder huchukua muda pia.Nimejaribu kusoma ile thread ya muhusika kule twitter nimebaki na maswali mengi sana,kwanini aseme kipindi hiki?
We Ni mjinga sana tena sana.Your very young and naive. You dont get the point.. why alalamike mitandaoni? Huko kwako hakuna vyombo vya sheria? Hakuna ubalozi wa Tanzania huko Nigeria..alienda kutoa malalamiko yake? We leo hii ukibakwa utapost instagram au utaenda kwenye vyombo vya sheria???
Atakua Mkenya anatuchafua.
Toka asubuhi anatrend huko twitter halafu unasema huwezi kuchafukaIsolated event
Hatuwezi kuchafuka kwa hadithi ya mtu mmoja kutoka Kiherehere hotel
Watu wanaongea humu kama akili hazipo vileIli jambo humu mnachukulia mzaha lkn uko Twitter wanaigeria wamechafukwa hotel imeenguliwa nyota kutoka 4.5 mpk 1.5 ishu ishakuw kubwa
Watu wanaongea humu kama akili hazipo vileIli jambo humu mnachukulia mzaha lkn uko Twitter wanaigeria wamechafukwa hotel imeenguliwa nyota kutoka 4.5 mpk 1.5 ishu ishakuw kubwa
Polisi gani na wewe nchi hii ina polisi au mamluki.Mie si mtu wa kuabudu sana wageni so hzo clip mpaka nizione ndo naweza sema kama si mtengeneza jambo. Kinyume cha hapo tuache chuki kwa jeshi letu la polisi.
Polisi ccm ndo inakulinda nawe
Now wanaboycott zanzibar na Tanzania na siyo Hotel tena.Itabidilishwa jina
Asante kwa tusi lako.We Ni mjinga sana tena sana.
Ameweka video footage akiwa bongo Kituo Cha polisi akifokewa bila msaada!
Alipiga simu ubalozi wa Nigeria hakupewa msaada!
Halafu huwezi kumpangia mtu wapi alalamike
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app