Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Alikuwa anajitibia madhara ya kisaikolojia yaliyomkuta. Soma Tena utauona huo mstari. Na usimhukumu Kwa kuchukua muda mrefu kuandika kilichomkuta kwani kutibu post traumatic disorder huchukua muda pia.
Ni kweli.
 
Asante kwa tusi lako.
Video nimeziangalia zote tena kwa umakini sana. Aliyekuwa anafoka ni yeye au ni polisi?
Yeye ndiye aliyekuwa anashout. Walichokuwa wanamwambia ni kuwa hairuhusiwi kuchukua video ndani ya kituo cha polisi yeye anakaidi na kupiga kelele. Maelezo alichukuliwa na hospital alipelelekwa kupimwa ambapo ilibainika kuwa hakuingiliwa. Hapo wewe kama polisi unaendeleaje na hiyo kesi?? Ushaidi mwingine uko wapi?? Hotel haina CCTV camera. Imagine ww ni polisi una proceed vipi? Msiwe biased na wala msisikilize upande mmoja.
Ishu ya kupiga simu ubalozini na kukosa msaada ametoa evidence gani??
Kwani mtu akitaka kubakwa na akajitetea hatakiwi kutoa taarifa polisi?
Nadhani polisi wanalalamikiwa kutokana na mrejesho wao
 
Warere hotel nao wamejibu muda si mrefu, wanasema huyo dada alikua na makubaliano na huyo Mlinzi ila hawakuelewana baadae. Walianza kusuluhisha hiyo case lakini dada aka demand kulipwa USD 10000 tofauti na hapo ataichafua hotel kama alivyofanya.
 
Kwani mtu akitaka kubakwa na akajitetea hatakiwi kutoa taarifa polisi?
Nadhani polisi wanalalamikiwa kutokana na mrejesho wao
Alitoa taarifa polisi na polisi walifanya kazi yao walimchukua meelezo na kisha baadae wakampeleka hospital kumpima ambapo majibu yalitoka kuwa hakuingiliwa kimwili. Sasa polisi hapo wafanyeje? Walazimishe kuwa kabakwa? Mgogoro kati yake na polisi ni pale tu polisi walipomwambia hairuhusiwi kisheria kupiga picha au video kituo cha polisi ndo mdada wa watu akaanza kushout na kutoka nje akipiga picha na video bango la kituo cha polis nungwi
 
Nimeiona pia hiyo tweet tangu mwanzo wake hadi retweet nyingi tu zinazotia aibu. Kila anayetoa comment anawatahadhalisha wengine kuwa Tanzania sio salama, tusijifiche kwenye kuhujumiwa na jirani ila tushughulike na wahalifu kama hiyo hoteli mazima.
Tulipaswa kuwashughulikia wenye hotel, wangemtoa mtuhumiwa wao, Kwa polisi, na kumtaka radhi huyo dada, hayo yote yasingetokea. Majuto ni mjukuu siku zote!

Warere beach ni pazuri Sana. Shame this happened!
 
Dada anaandika sana huko Twitter muda wote hana tweet nyingine zaidi ya Zanzibar
 
Alitoa taarifa polisi na polisi walifanya kazi yao walimchukua meelezo na kisha baadae wakampeleka hospital kumpima ambapo majibu yalitoka kuwa hakuingiliwa kimwili. Sasa polisi hapo wafanyeje? Walazimishe kuwa kabakwa? Mgogoro kati yake na polisi ni pale tu polisi walipomwambia hairuhusiwi kisheria kupiga picha au video kituo cha polisi ndo mdada wa watu akaanza kushout na kutoka nje akipiga picha na video bango la kituo cha polis nungwi

Kwa hiyo kwa sababu hakubakwa so kunakuwa hamna kesi?

Vipi kuhusu aliyetaka kumbaka?

Vipi kuhusu fedha zake?

4 star hotel inakosa Cctv?

Tuache kutetea upumbavu.
 
Kwa hiyo kwa sababu hakubakwa so kunakuwa hamna kesi?

Vipi kuhusu aliyetaka kumbaka?

Vipi kuhusu fedha zake?

4 star hotel inakosa Cctv?

Tuache kutetea upumbavu.
Hamna anayemtetea mtu hapa. Hatubishani. Tunaelimishana. Je umeuona utetezi wa wenye hiyo hotel???
Umetoka hivi punde
Umeshausoma??
Wao wanadai huyo mlinzi na huyo dada walikua ni wapenz na at the end of day huyo dada alitaka compesataion ya 10,000 usd sawa na mil 25 cash ili aondoke tanzania.
Je tumuamini nani ??
 
Sawa mbakaji
Akwende zake huko mbona ulaya kila siku watu wanafanyiwa vitendo vya kikatili +mauaji na bado tunapambana kwenda huko
yee kubakwa kidogo tu ndo watalii wasije never[emoji35]
 
Lakini umesoma tweets zake uko twitter na clips alizoziweka?

Instagram Account ya hiyo hotel imeblock hasiweze kuendelea kutoa lawama, sababu ya kublock ni nini?

Kama ni uongo si wangejibu alafu wamchukulie hatua za kisheria, kwa kublock watu wasitoe mawazo yao kunaonyesha kuna tatizo kwenye hiyo hoteli.

View attachment 2190501

View attachment 2190502
Sijasema ni uongo au ukweli

Nisome unielewe

Nimeweka neutral view ili kuwa fair kwenye investigation
 
kuna kitu hakiko sawa inawezekana kuna harufu ya utapeli
FQhzPGeXoAIOPpy.jpeg
FQfzm_SX0AgSTXl.jpeg

FQfznMMWUAY3pql.jpeg

FQfzmwhX0Ag7T_l.jpeg

FQfzmhLWQAUfCEX.jpeg
 
Back
Top Bottom