Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Alikuwa anajitibia madhara ya kisaikolojia yaliyomkuta. Soma Tena utauona huo mstari. Na usimhukumu Kwa kuchukua muda mrefu kuandika kilichomkuta kwani kutibu post traumatic disorder huchukua muda pia.
Ni kweli.
 
Kwani mtu akitaka kubakwa na akajitetea hatakiwi kutoa taarifa polisi?
Nadhani polisi wanalalamikiwa kutokana na mrejesho wao
 
Warere hotel nao wamejibu muda si mrefu, wanasema huyo dada alikua na makubaliano na huyo Mlinzi ila hawakuelewana baadae. Walianza kusuluhisha hiyo case lakini dada aka demand kulipwa USD 10000 tofauti na hapo ataichafua hotel kama alivyofanya.
 
Kwani mtu akitaka kubakwa na akajitetea hatakiwi kutoa taarifa polisi?
Nadhani polisi wanalalamikiwa kutokana na mrejesho wao
Alitoa taarifa polisi na polisi walifanya kazi yao walimchukua meelezo na kisha baadae wakampeleka hospital kumpima ambapo majibu yalitoka kuwa hakuingiliwa kimwili. Sasa polisi hapo wafanyeje? Walazimishe kuwa kabakwa? Mgogoro kati yake na polisi ni pale tu polisi walipomwambia hairuhusiwi kisheria kupiga picha au video kituo cha polisi ndo mdada wa watu akaanza kushout na kutoka nje akipiga picha na video bango la kituo cha polis nungwi
 
Nimeiona pia hiyo tweet tangu mwanzo wake hadi retweet nyingi tu zinazotia aibu. Kila anayetoa comment anawatahadhalisha wengine kuwa Tanzania sio salama, tusijifiche kwenye kuhujumiwa na jirani ila tushughulike na wahalifu kama hiyo hoteli mazima.
Tulipaswa kuwashughulikia wenye hotel, wangemtoa mtuhumiwa wao, Kwa polisi, na kumtaka radhi huyo dada, hayo yote yasingetokea. Majuto ni mjukuu siku zote!

Warere beach ni pazuri Sana. Shame this happened!
 
Dada anaandika sana huko Twitter muda wote hana tweet nyingine zaidi ya Zanzibar
 

Kwa hiyo kwa sababu hakubakwa so kunakuwa hamna kesi?

Vipi kuhusu aliyetaka kumbaka?

Vipi kuhusu fedha zake?

4 star hotel inakosa Cctv?

Tuache kutetea upumbavu.
 
Kwa hiyo kwa sababu hakubakwa so kunakuwa hamna kesi?

Vipi kuhusu aliyetaka kumbaka?

Vipi kuhusu fedha zake?

4 star hotel inakosa Cctv?

Tuache kutetea upumbavu.
Hamna anayemtetea mtu hapa. Hatubishani. Tunaelimishana. Je umeuona utetezi wa wenye hiyo hotel???
Umetoka hivi punde
Umeshausoma??
Wao wanadai huyo mlinzi na huyo dada walikua ni wapenz na at the end of day huyo dada alitaka compesataion ya 10,000 usd sawa na mil 25 cash ili aondoke tanzania.
Je tumuamini nani ??
 
Sawa mbakaji
Akwende zake huko mbona ulaya kila siku watu wanafanyiwa vitendo vya kikatili +mauaji na bado tunapambana kwenda huko
yee kubakwa kidogo tu ndo watalii wasije never[emoji35]
 
Sijasema ni uongo au ukweli

Nisome unielewe

Nimeweka neutral view ili kuwa fair kwenye investigation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…