Wala ata sio polisi ni wabongo wote 'utakavokuja ndivyo utakavyopokelewa.Polisi wetu kuna mahali wanakosea....kudhani kila kitu ni kutumia nguvu kuliko akili. Suala hili wangeweza kulishugulikia kwa weledi na kuweka maslahi ya taifa mbele....wao wakatumia manguvu na hivyo wengi 'you know.....'haipandi kabisa,wakaishia kugeuza kibao kama kawaida yao. So horrible indeed.
Hakuna evidence za tukio. Kuna evidence za events zote baada ya tukio.Mbona dada katoa evidence kabisa za tukio?
Hamna anayemtetea mtu hapa. Hatubishani. Tunaelimishana. Je umeuona utetezi wa wenye hiyo hotel???
Umetoka hivi punde
Umeshausoma??
Wao wanadai huyo mlinzi na huyo dada walikua ni wapenz na at the end of day huyo dada alitaka compesataion ya 10,000 usd sawa na mil 25 cash ili aondoke tanzania.
Je tumuamini nani ??
kabisa yaniNaona unatete wabakaji kwa nguvu zote.
Siku binti yako akienda kubakwa huko tunafunika kwa juhudi zote ili nchi yetu isichafuke.
Idiot.
Hakuna evidence za tukio. Kuna evidence za events zote baada ya tukio.
Ilikua Ni April alifanyiwa huo unyama.Inawezekana kwa sababu Leo Ni siku ya bday yake tukio likamjia akaamua kuliweka wazi ili kupata unafuu .Ko ndiyo connectionHuyo Mnaigeria amekaa kimya mwaka mzima hadi Rais SAMIA anazindua ROYAL TOUR ndiyo anaibuka? Hivi ni mimi tu kuna wengine wanaona giza kuhusu hii story? Why now? Halafu binti wa miaka 23 anatoka Nigeria kusheherekea birthday yake peke yake? Au alikuwa ameleta mzigo wakapishana na mwenyeji wake?
Social media can post anything
Atoe ushirikiano wakati wa uchunguzi
Hivi Zanzibar hotel zao hazina milango au jamaa alipewa funguo?yan aliwezaje kujiamin kuingia?hakuna CCTV??
Zanz haina msaadaNa wanatumia nguvu kweli kweli kupush hiyo agenda, hii issue tunaweza, kuichukulia simple ila ikaathiri utalii wa zanzbar kiasi
Wanaijeria, Wakenya na Wasauz walivyoikomalia hii issue kana kwamba huko kwao ni salama.
Nitakua wa mwisho kuamini hii story.Nani ni mkweli?
Kwanini hao watu wa Hotel wasilete facts zao mezani?
Footage n.k.?
Your very young and naive. You dont get the point.. why alalamike mitandaoni? Huko kwako hakuna vyombo vya sheria? Hakuna ubalozi wa Tanzania huko Nigeria..alienda kutoa malalamiko yake? We leo hii ukibakwa utapost instagram au utaenda kwenye vyombo vya sheria???
Na hii nchi imlinde huyu mtu akifa litakuwa tatizo lingine [emoji3064][emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bongo nyosoMzee Dada ana clip na picha kibao
Polisccm wanamfukuza
Hawa polisi wetu wapumbavu sana aisee
Huyo Mnaigeria amekaa kimya mwaka mzima hadi Rais SAMIA anazindua ROYAL TOUR ndiyo anaibuka? Hivi ni mimi tu kuna wengine wanaona giza kuhusu hii story? Why now? Halafu binti wa miaka 23 anatoka Nigeria kusheherekea birthday yake peke yake? Au alikuwa ameleta mzigo wakapishana na mwenyeji wake?
Wa Taji I wazanzibariAlileta mashtaka polisi mlifanya nini?
Ndugu yangu watu wanafanyiwa mambo mazito sana humu inchini. Ukiachana na hilo wageni wengi wanadhurumia sana. Kuna badhi ya watu wanaochafua image ya hii nchi RAS SIMBA akiwa moja wao. Soon notaleta uzi wa jinsi huyu jamaa anatapeli wageniLeta hzo tweets tusome na sisi, vinginevyo itakuwa ni majungu tu. Kitu kitokee 2021 na aje kuibuka leo?
Ameweka Wazo kuwa alikuwa kwenye therapyN kama mpika story tu yan jambo litokee mwaka mmoja nyuma then unalisema leo?
Kwann leo si siku zile za karibuni?
Hakwenda kwenye vyombo vya sheria hapa nchini?
Mlimsaidia.
Alipiga simu kwenye ubalozi wao walinsaidia?
Acha afanye kile anajisikia and yupo sawa tu.
Yes Logde nyingi tunaingia humu mitaani zina camera na ni za bei za kawaida.Hii inajiita 4.5* ilipataje hii hadhi!? Inatia DOA sana
Guest zetu bongo za kulia short time, korido zina kamera!