Sakata la Wazee EAC: Litaisha lini?

Nimeipenda hii picha, wazee walivyokaa walipatia sana maaana kuna Bango hapo Nyuma nadhani ni la DHL linasema MORE POWER na Kuna Polisi na kalandinga lao, Nadhani hii picha inahabari zaidi ya habari
Baada ya kuona observation yako nimejikuta naungana nawe ...jambo limezua jambo! Bango limekaa pazuri! And more power is being used...
 
Leo tumejionea mengi kwa kweli...Kandoro, Kova na Kimbisa wakiongoza magari. Tusubiri tamko la serikali kuhusiana na hali hii...hasa hasa Rais Kikwete atakapoongea na taifa mwisho wa mwezi kama ilivyo ada.

Nani kakwambia kwamba Kikwete ana uwezo wa kuongea na taifa kila mwisho wa mwezi? Huo ulikuwa utaratibu aliojiwekea Mkapa ambao JK aliuiga na ukamshinda!

Sitaki kuamini moja kwa moja kwamba JK ni mvivu, wa kufanya kazi na hata kufikiri! Ila mambo jinsi yanavyokwenda nchi hii kwa sasa, inajidhihirisha hivyo!
 

Mwacheni Nyerere wangu apumzike.

Fedha za wastaafu hawa zilikuja baadaye zikaliwa na serikali katika matumizi mengine kwa visingizio mbalimbali. Serikali irudishe sasa!

Ujinga wa serikali umefanya hawa wazee waje na madai mapya ya kudai riba ya fedha zao zilizokaa serikalini na kulipwa kwa viwango vya thamani ya sasa ya sarafu.

Madai mapya na ongezeko la wadai ndio mambo yanayofanya serikali iwapige danadana hawa wazee wetu.

Hivi kuna wazanzibar wenzetu katika hawa wazee?

Asha
 

JOHN POMBE MAGUFULI for CCM Presidential candidate in 2010!!! Huyu atatufaa sana! Tatizo lake hana mtandao wa mafisadi wa kum-back up!!!
 

Asante sana nimekupata ttz ndoo tuaamka sasa + kukurupuka + kupumbazwa kwa miaka yote matokeo ndo haya tunamlalamikia kila mtu tuu bila kuwa na data au kuzichimba... lkn naamini zaidi ya yote uwezo wa kutatua hili ttz JK analo tena sana kuliko kujidhalilisha hivi..... na ndo limemuangukia yeye sasa aachane na hizo safari mara mexico mara peru akatihuku kunaungua
 
JOHN POMBE MAGUFULI for CCM Presidential candidate in 2010!!! Huyu atatufaa sana! Tatizo lake hana mtandao wa mafisadi wa kum-back up!!!
kama ni kutokuwa na mtandao then hilo sii ttz kama anafaa achukue form mean while wabunge wa upinzani na wale wa ccm wanaoitakia mema TZ wakazane mpaka mgombea binafsi ipite.....
 

Mimi kila siku nasema humu humu ndani, KIKWETE kakumbana na matokeo, tunamlaumu bure mtandao wa majambazifisadi kuuondoa lazima uwe makini na subira sana. basi tu tumeamua kuwa OPP.
 
Nasikia baada ya kuondolewa pale darajani, sasa wamevamia central Police. kazi yaendelea

Kwenye saa tano polisi wamepiga mabomu ya machozi eneo lote la kuzunguka mnara wa saa kuwatawanya wazee hao (ingawa sikuona sababu ya kutumia nguvu kubwa kiasi hicho). Barabara za Uhuru (eneo kunakouzwa kanga na vitenge) Nkrumah, Samora ilikuwa balaa. Machozi matupu.
 
Wana JF...

Wazee wetu wamekuwa wakitamka kwamba, Wazee wenzao wa Kenya na Uganda walokuwa wakifanya kazi kwenye "EAC" walikwishalipwa mafao yao. Ningependa kujua kama kuna mjumbe yoyote anayeweza kupata usahihi wa taarifa hii...

Ni kweli kuwa serikali za Kenya na Uganda ziliwalipa wastaafu wao tangu kipindi hicho jumuiya ilipovunjika na hivi sasa wameshasahau. Lakini hapa Bongo, serikali haikufanya hivyo.
na hili ni suala moja tu, zipo pia fedha za wazee waliopigana vita kuu ya pili, zilishatolewa na wainfgereza kitambo lakini hadi leo wazee hao wanaendelea kusumbuka na fedha sijui zimeenda wapi!!!
 


Hukuona walioshauri wakitaja fungu la fweza ya EPA?


Jingine, RAISI akirithi tatizo ana haki ya kuliweka kapuni? Usianze ku-twist mambo hapa! KATIBA inasemaje kuhusu majukumu na wajibu wa RAISI?




.
 
kama ni kutokuwa na mtandao then hilo sii ttz kama anafaa achukue form mean while wabunge wa upinzani na wale wa ccm wanaoitakia mema TZ wakazane mpaka mgombea binafsi ipite.....

Mgombea binafsi si alisharuhusiwa na Mahakama Kuu baada ya Mtikila kushinda kesi hiyo?
 
Mgombea binafsi si alisharuhusiwa na Mahakama Kuu baada ya Mtikila kushinda kesi hiyo?

nakumbuka kunawakati ccm an kikwete binasi walikata rufaa... nywenye habari zaidi na hili atusaidie
 
Kabisa naungana nawe, wananchi tukubali kuwa hii serikali haitufai. Hatuna budi kuiweka kando.
WE DELIGATED POWER TO HIM BUT WE DID NOT SURRENDER OUR POWER. SO WE CAN SAY NO, WE ARE TIRED OF YOU!!
 



Hukuona walioshauri wakitaja fungu la fweza ya EPA?


Jingine, RAISI akirithi tatizo ana haki ya kuliweka kapuni? Usianze ku-twist mambo hapa! KATIBA inasemaje kuhusu majukumu na wajibu wa RAISI?




.
Mie nafikiri uraisi ni taasisi na ukikaa pale uyapokee yote unayoyakuta yakiwemo mazuri na mabaya.

Visingizio vya eti 'ameyarithi' havitatupeleka popote; kama ambavyo anafungua miradi mipya iliyoanzishwa na watangulizi wake, tena kwa mbwembwe, vile vile ayabebe matatizo yalioachwa na awamu zilizopita yakiwemo ya wizi wa EPA na madeni ya wastaafu.
 
nimejaribu kupata baadhi ya picha japo kwa kamera yangu sio nzuri ila itawapa picha wanajamii. jamani huku sio iraki ni posili walivyo kuwa wanawazitibu





Picha zako uliziweka saa ngapi mbona sikuziona? Au uli-edit post yako?
Shukrani kwa kazi hii.




.
 



Hukuona walioshauri wakitaja fungu la fweza ya EPA?


Jingine, RAISI akirithi tatizo ana haki ya kuliweka kapuni? Usianze ku-twist mambo hapa! KATIBA inasemaje kuhusu majukumu na wajibu wa RAISI?




.

Nadhani kama ni kurithi inabidi tuanze na Mzee Mwinyi afuate Mkapa ndo JK ashambuliwe!!
Kwa sasa nadhani kinachotakiwa ni busara zaidi kuliko kutumia matukio kama haya kujitafutia sifa na kufanya ile inaitwa blame game!!

Lets face it serikali ya CCM ndo inatakiwa iwajibike from the roots....how could they ignore such an important thing for our wazee!!!?
 
Picha wazee walikuwa barabarani leo asubuhi !




 

Attachments

  • Cos.023.jpg
    15.2 KB · Views: 143
Naweza kupata mwanga kidogo wazee????

Naibu waziri alinukuliwa akisema wastaafu 'walishalipwa karibu wote' na hawa wanaodai sasa walikuwa ni 'vibarua' ambao wakati wa EAC hawakuwa na mkataba wa ajira! Akadai kuwa wadhibitishe ajira zao toka kwa mwajiri! Je Kenya na Uganda 'vibarua' nao walipata malipo?
 




Mimi sina mtazamo huo. Angekuwa ni mtu asiye na mikono michafu suluhu ya tatizo hili ingepatikana, na uwezo huo Raisi anao.


Yaani unataka kuniambia kwamba JK anapata kiburi kwa sababu eti tatizo amerithi? Ajitokeze hadharani basi ayaseme hayo kama hakupigwa risasi. Utakuwa ni ushenzi usio na kifani.


Hiki sio kisingizio anachoweza kukitumia.
Ngoja nikuulize, wewe ulimwelewaje Nyerere aliposema IKULU sio pa kukimbilia?





.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…