ufyudhi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 772
- 538
Rational decision making behaviour..
Binadam tumeumbwa na tunaishi katika mazingira yenye options nyingi sana zenye fursa nyingi.. tofauti kati ya masikini na tajiri ni namna ya kuchagua na kuzitumia hizo fursa..
Tanzania ni kati ya nchi masikini duniani kwa sababu nguvu kazi yake inawekeza muda na nguvu nyingi sana katika vitu visivyo na tija..
Kwa uzi wako huu sina hakika sana kam umepata hata shilingi 100 zaidi ya kufurahia tu wingi wa comment za wadau.. unajua kitendo chako cha kuandika uzi huu ambacho hakijakupa faida wewe kimewapaje wengine faida..
Vocha..... faida mtandao wa simu
J.f usage..... watu wengi wameingia kucomment umu hivyo pato linaingia kwa mmiliki wa j.f
Chanzo cha habari.. kupitia vipicha vyako hivi watu kibao wamevitumia kwenye bloggs zao na magazeti yao ya udaku
Airtime coverage... kuna watu kibao walikua hawajui hii ofer ya voda so umewatangazia biashara hapa.. pia hata hii ishu ya mondi umemtangaza pia na kumpa umaarufu wa bure..
Next time usiache fursa hizi ziende bure.. zitumie kwa faida