FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Huyo diamond angekuwa tishio sana angevuta mtoto mwenye quality zake hapa mjini lakini kaenda kuokota jimama Uganda..we kama unamzimikia Sana diamond hadi unamtamani Ni wewe,Kuna wanaume zaidi ya diamond bana,we itakua unapenda wanaume maarufu,je kina Mengi,Mo dewj je ,bakhresa hao utatuambiaje sasa Daimond WA kawaida mno
Nakumbuka mwaka flani alikuwa anatoka na Naj yule alikuwa UK akampangishia nyumba Africana karibu na Green Acres.. Yule demu alikuwa analiwa sana na washkaji wa ule mtaa.. Sijui kama God Zilla nae hakupita kipindi hicho hicho.. Kipindi hicho alikuwa na ile Prado TX nyeupe basi akiwa anakuja washkaji wa mtaa wakawa wanamcheka tu... Diamond ni mshamba sana, ila kwa ambao hamumjui mnamshtuka mkidhani ni wa maana sana