Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

Mimi sina shida na wewe lakini tukitaka twende vizuri na kujenga hoja ni vizuri. Nchi hii hatuwezi kukubaliana hata siku moja 100% lazima tutakuwa na maoni tofauti. Sawa na mpira tunatizama game moja pamoja lakini tukitoka tukianza kuongea ni kama tulikuwa tunatizama game tofauti lakini mshindi anakuwa na hoja zaidi. Kwenye siasa ya vyama vingi lazima tutakuwa na maono tofauti ndio maana ya democracy. CCM wana mandate ya kuamua kwa niaba yetu sababu walishinda uchaguzi na ili kushinda uchaguzi walikuwa na sera zao watu wakawachagua. Ni haki yao ku deliver walichoahidi. Wakishindwa uchaguzi ujao wapigeni chini simple.
 
Amani ya nchi bila uhuru ni kazi bure. Hatuwezi kuuzwa kirahisi kwa bei ya bazoka.

# Asiyetaka kukosolewa atoke kwenye ofisi aende akalee wajukuu#

Uzumbukuku wa mtu mmoja hauwezi kugharimu hadi vizazi ambavyo bado vipo kwenye viuno vyetu.
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Nadhani hata Nape kabla ya kukatwa mkia alikuwa na kauli km hizi.

Msalimie Cyprian Msiba,mwambie awashughurikie hao mawakili.
 
Tupo pazuri nchi inaenda vizuri. Hakuna shida. Viongozi wameletwa na Mungu.[emoji16][emoji16]
 
Amani ya nchi bila uhuru ni kazi bure. Hatuwezi kuuzwa kirahisi kwa bei ya bazoka.

# Asiyetaka kukosolewa atoke kwenye ofisi aende akalee wajukuu#

Uzumbukuku wa mtu mmoja hauwezi kugharimu hadi vizazi ambavyo bado vipo kwenye viuno vyetu.
Sasa uuzwe wewe una thamani gani? Mbona mwenyekiti wenu Mbowe hakoselewi, ukimgusa tu na chama unafukuzwa. Eti kuuzwa nani atakununua wewe labda Burundi
 
Nyinyi Chadema sio ndio lugha myaoelewa. Mtu akiwa mstaarabu nyinyi ndio mnaona idhaifu, Rais Samia mpole mnamuona dhaifi mnahitaji watu kama JPM ndio mnakuwa na heshima.
Tatizo ni katiba,hata Mh. Samia amewahi kuponda hadharani vitendo vya mtangulizi wake JPM,
Kumbuka uchomaji wa vifaranga kutoka Kenya. Mbona hukumuuliza kwa nini hakumponda bosi wake akiwa hai?
Hapa hakuna anayeonewa, issue ya Makinikia mbona Lisu huyu huyu anayekosoa mkataba wa bandari, alimpinga Magufuli waziwazi!! Mpaka kumwita dikteta uchwara!!
Kinacholeta shida siyo uwekezaji na Dubai, NO. Kuna hoja na vifungu vya kisheria vimeibuliwa, si vijibiwe, mbona ni rahisi tu!!
Sasa maneno ya kujihurumisha kuwa kuna mtu anaonewa ya nini? Kama tuna uhakika na kilichofanyika kimefuata kanuni na sheria zetu, wajibuni hizo hoja, na siyo ngojera za kuwajengea imani kuwa mambo yatakuwa mazuri,tu. Ukiulizwa wapi wamejicommit? Kimya.
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Mbwa mwenyew
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Magufuli hakuwahi kuuza rasilimali za nchi sanasana alipigania zirudishwe
 
Viongozi siyo Mungu!! Wasijiingize kwenye makosa makubwa kwa sababu eti ni viongozi.
Halafu wakili alisema Majaliwa ni muongo,Je ni kweli au sio kweli? "Rais yupo anachapa kazi......"
 
Walishinda uchaguzi upi?
 
Kama hutaki kebehi na dharau si muachie hizo nafasi
 
Amani ya nchi bila uhuru ni kazi bure. Hatuwezi kuuzwa kirahisi kwa bei ya bazoka.

# Asiyetaka kukosolewa atoke kwenye ofisi aende akalee wajukuu#

Uzumbukuku wa mtu mmoja hauwezi kugharimu hadi vizazi ambavyo bado vipo kwenye viuno vyetu.
Kwa maneno haya inaonesha kuwa Wasomi wetu bado hawakuelimika.
Mkataba wa kuendesha Bandari ni katika mambo ya kawaida ki uwekezaji, lakini watu wasiojuwa wanalofanya wanadhani wanagombea UHURU sasa .
Serikali ina wataalamu wa kila aina wa kufuatilia mikataba na kujua maslahi yako wapi kwa Taifa. Leo wewe Unajitia kujua masuala ya Kiuchumi wa Kimataifa na kudai eti nchi inauzwa. UJINGA UMEKITHIRI NCHI HII

Mama Samia Harakisha kuwaleta hao DP World ili Neema iwahi kupatikana kwa Taifa , halafu tuone Hawa wapigania Uhuru watakavyoaibika.
Wana wafanyeni huko serikali wote wajinga, akili mwanazowao tuu.
THIS IS SHAME
 
Mbona wao wana lugha za dharau na kebehi kwa waajiri wao.

Mfano majuzi raia namba moja akiwa Arusha alisema kwamba yeye ameziba masikio so hataki kusikia maoni ya wananchi wake
 
Alikosoa nini kipindi cha Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…