Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

Wewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Kwani kebehi iko wapi hapo? Asiyetaka kukosolewa aende akakae kwake akapige story na FaizaFoxy na theboss
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Uroho mbaya hata wewe unaweza kuwahishwa na Mungu. Mungu huwaisha wenye roho mbaya wakati mwingine. Chunga sana Ulimi wako kiongozi.
 
Mimi sina shida na wewe lakini tukitaka twende vizuri na kujenga hoja ni vizuri. Nchi hii hatuwezi kukubaliana hata siku moja 100% lazima tutakuwa na maoni tofauti. Sawa na mpira tunatizama game moja pamoja lakini tukitoka tukianza kuongea ni kama tulikuwa tunatizama game tofauti lakini mshindi anakuwa na hoja zaidi. Kwenye siasa ya vyama vingi lazima tutakuwa na maono tofauti ndio maana ya democracy. CCM wana mandate ya kuamua kwa niaba yetu sababu walishinda uchaguzi na ili kushinda uchaguzi walikuwa na sera zao watu wakawachagua. Ni haki yao ku deliver walichoahidi. Wakishindwa uchaguzi ujao wapigeni chini simple.
Walichaguliwa kwa Election?au waliwekwa?
 
Uroho mbaya hata wewe unaweza kuwahishwa na Mungu. Mungu huwaisha wenye roho mbaya wakati mwingine. Chunga sana Ulimi wako kiongozi.
Wala sichungi nimesema wazi kama unavyojitapa nyinyi kuwa mnasema wazi. JPM Mungu angempa umri mrefu tu mlishaanza kuwa na adabu.
 
Sijui ni lini sisi Watanzania tutaweza kusimamia mali zetu na kuziendesha...
 
Kwani kebehi iko wapi hapo? Asiyetaka kukosolewa aende akakae kwake akapige story na FaizaFoxy na theboss
Nimeshasema kosa kubwa nyinyi Rais Samia kuwaachia na kuwa mpole alitakiwa mtu kama JPM mliuvyata mikia wote hakuna hata mbwa mmoja aliyetoka hadharani kuandamana. Yule mguu mbovu akakimbia kabisa nchi, yule muuza Bangi Arusha alikimbia kama mwizi mpakani, mwenyekiti wenu ndani kumetmbelea tu jela mlikuwa manogopa kama JPM atawashughulikia. Mlikuwa mna nini? Sugu alisema rais wa Mbeya wekwa ndani hakuna hata mtu mmoja aliyetoka barabarani. Mama Samia kaja kawaonea huruma tokeni lakini sasa mnaanza kukosa adabu lakini mnaijuwa CCM wakilitaka jambo...
 
Viongozi siyo Mungu!! Wasijiingize kwenye makosa makubwa kwa sababu eti ni viongozi.
Ndio maana wanaiba kodi zetu kwa sababu wanajua hawatahojiwa,lakini safari watanzania sio wale wa miaka 2000 nyuma
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Wewe unasema watu watumie lugha ya staha wakati wewe mwenyewe unatumia lugha chafu,unaita member wenzio mbwa!?ndio maana Mwabukusi anaongea lugha ambayo watawala wataielewa,na ujumbe umewafikia.
 
Magufuli hakuwahi kuuza rasilimali za nchi sanasana alipigania zirudishwe
Na nani alikuwa anawatetea wale watu wa migodi? sio Lissuna nyinyi Chadema au mnajitoa ufahamu. Risasi alipata sababu nini? si aliitwa na JPM wasaliti wa nchi sababu alikuwa kutwa akiwapigania wakati JPM alikuwa anasema hapana.
 
Kabisa, aende zake! Pia...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Wewe unasema watu watumie lugha ya staha wakati wewe mwenyewe unatumia lugha chafu,unaita member wenzio mbwa!?ndio maana Mwabukusi anaongea lugha ambayo watawala wataielewa,na ujumbe umewafikia.
Sababu nyinyi mtu akiongea upande wa serikali tu mnaanza matusi sasa na sisi tuanenda na lugha wanazozitaka. Mimi siandikia tena kuhusu hawa CDM. Kwa ufupi tu 2024 CCM wanabeba local election, 2025 wanachukuwa nyinyi mbaki kuunda serikalini yenu kwenye mitandao.
 
Wewe kosoa hata masaa 24 ila kuwa na heshima kwa viongozi acha kebehi na dharau kwa viongozi wa nchi. Hakuna shida kukosoa lakini ukileta dharau na kebehi unatuma message gani kwa watu kwamba wadharau mamlaka? amani ya nchi muhimu kuliko maslahi ya chama au mtu binafsi ila kuambiana tuambiane hakuna shida, chungeni lugha za maudhi na dharau.
Mamlaka zinazopatikana kwa kupora chaguzi za nchi hizo, hizo sio mamlaka halali.
 
Sababu nyinyi mtu akiongea upande wa serikali tu mnaanza matusi sasa na sisi tuanenda na lugha wanazozitaka. Mimi siandikia tena kuhusu hawa CDM. Kwa ufupi tu 2024 CCM wanabeba local election, 2025 wanachukuwa nyinyi mbaki kuunda serikalini yenu kwenye mitandao.
Sasa acha Mwabukusi awanyooshe hao madalali wa Bandari kwa lugha watakayoielewa
 
Sababu nyinyi mtu akiongea upande wa serikali tu mnaanza matusi sasa na sisi tuanenda na lugha wanazozitaka. Mimi siandikia tena kuhusu hawa CDM. Kwa ufupi tu 2024 CCM wanabeba local election, 2025 wanachukuwa nyinyi mbaki kuunda serikalini yenu kwenye mitandao.
Mtabeba ila sio kwa kura halali, bali kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Uwezekano wa CCM kushinda kihalali uliisha rasmi uchaguzi wa 2005. Toka hapo wizi na kubaka mchakato wa uchaguzi ndio imebaki njia pekee ya CCM kubaki madarakani kwa shuruti.
 
Back
Top Bottom