Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kipa anadaka mpaka gesiSimba inatakiwa kupunguza wachezaji wa kigeni ili iweze kusajili wengine, kwa sasa imebakiwa na wachezaji 9, hivyo ina nafasi ya kuongeza 3 wa kigeni ili kufikia 12, hata hivyo inaonekana Simba imesajili wageni kama sita hivi akiwemo kipa kutoka Brazil ambaye anadaka hadi gesi.
Kwa wachezaji waliopo uwezekano wa kumuuza Sakho anayetakiwa huko nje ni mkubwa, Banda atatupisha na Onyango ni thank you very much.
Otherwise there is no way
Muambie huyo kibaraka wa UtopoloSimba kasajili wageni watatu hadi sasa ataongezwa mmoja wa nne basi. Onyango bado yupo haondoki
Okwa, Quatara?Akpàn,sawadoģo.
Okwa na Akpan mbona hukawataja?UCHAMBUZI MZURI NGOJA NIONGEZEE NYAMA.
1. Wachezaji wa kigeni WANAO takiwa LIGI ya Tanzania ni 12.
Simba imepunguza wachezaji 3.
Okra, Ottara , Sawadogo.
Ili wajazie WANATAKIWA wachezaji wa 3, Simba inahitaji zaidi ya Wachezaji 5- 6 Ili Angalau WAFANYE vizuri.
2. Simba walitakiwa kuwaacha
Okra, Ottara, sawadogo, Banda, SAKHO kanute au (PHIRI) kanute, hapa kwa kanute ndio kwenye shida mno, Simba Haina 8 kariba ya aucho
3. Moja kati ya Wachezaji wanaotakiwa kubaki Simba ni Onyango, japo ANATAKIWA AWE ni mchezaji wa AKIBA.
Ikitokea beki tuliemsajili ameshindwa kuonyesha, Simba Haina beki mwingine wa kati back up zaidi ya onyango.
ONYANGO HATAKIWI KABISA KUONDOKA JIFUNZENI MPIRA
Okwa na Akpan mbona hukawataja?
SawaTimu hizi ukisha ondoka kwa mko ndio byebye....
HAO waliishaondoka Simba msimu ule walipokwenda IHEFU huko, pamoja na kuwa na MKATABA.
Eg kambole yupo kwa MKOPO huko Zambia, Bado unamuhesabu kama mchezaji wa Yanga kweli!!!!!!!
Ndio woter bwalia miksoni aje apo