Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba inatakiwa kupunguza wachezaji wa kigeni ili iweze kusajili wengine, kwa sasa imebakiwa na wachezaji 9, hivyo ina nafasi ya kuongeza 3 wa kigeni ili kufikia 12, hata hivyo inaonekana Simba imesajili wageni kama sita hivi akiwemo kipa kutoka Brazil ambaye anadaka hadi gesi.
Kwa wachezaji waliopo uwezekano wa kumuuza Sakho anayetakiwa huko nje ni mkubwa, Banda atatupisha na Onyango ni thank you very much.
Otherwise there is no way
Kwa wachezaji waliopo uwezekano wa kumuuza Sakho anayetakiwa huko nje ni mkubwa, Banda atatupisha na Onyango ni thank you very much.
Otherwise there is no way