Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Dogo anajua sanaHakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape sakho.
Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa konde boy.
Kama ilivyokawaida yetu wadau wa soka Leo tumebatiza jina jipya fundi huyu wa mpira nakuanzia leo ataitwa Profesa sakho(turbo machine)View attachment 2076773
Unateseka ukiwa wapiYaani kumfunga namungo Team ya mwisho mwisho ligi kuu ndo awe professor kweli?
Siyo wale wanaopew majina na wachambuzi uchwara eti " Daktari "Dogo anajua sana
Sisi kama SIMBA huwa hatufanyi makosa ya kizembeHakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape Sakho.
Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa konde boy.
Kama ilivyokawaida yetu wadau wa soka Leo tumebatiza jina jipya fundi huyu wa mpira nakuanzia leo ataitwa Profesa sakho(turbo machine).
View attachment 2076773
Kibisa kabisa yani.Sisi kama SIMBA huwa hatufanyi makosa ya kizembe
Uprofesa wa nabi ni kama ule wa maji marefuJina professor tayar lina mtu, Prof Nabbi.
Nabi ni nabi tu Profesa ni sakhoJina professor tayar lina mtu, Prof Nabbi.
Kwa nn Sakho asiwe Sakho tu na Nabbi aendelee kua prof?Nabi ni nabi tu Profesa ni sakho