Sakho tunempa jina la Profesa

Sakho tunempa jina la Profesa

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
379
Reaction score
466
Hakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape Sakho.

Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa konde boy.

Kama ilivyokawaida yetu wadau wa soka Leo tumebatiza jina jipya fundi huyu wa mpira nakuanzia leo ataitwa Profesa sakho(turbo machine).

1641888881736.jpg
 
Hakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape sakho.
Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa konde boy.
Kama ilivyokawaida yetu wadau wa soka Leo tumebatiza jina jipya fundi huyu wa mpira nakuanzia leo ataitwa Profesa sakho(turbo machine)View attachment 2076773
Dogo anajua sana
 
Yaani kumfunga namungo Team ya mwisho mwisho ligi kuu ndo awe professor kweli?
 
Hata mimi nilitaka kushangaa, yaan awe mzawa wa Senegal halafu asiupige Mwingi?
Kabisa kule anakotoka Sadio Mane, he has proved to us all.
 
Hakika kwa Sasa mchezaji ni mmoja tu naye ni Pape Sakho.

Mchezaji mwenye kipaji Cha hali ya juu,mwenye ufundi ,mwenye kujitumia ,mwenye spidi ya ajabu ,Hakika Simba sports club imapata mbadala wa konde boy.

Kama ilivyokawaida yetu wadau wa soka Leo tumebatiza jina jipya fundi huyu wa mpira nakuanzia leo ataitwa Profesa sakho(turbo machine).

View attachment 2076773
Sisi kama SIMBA huwa hatufanyi makosa ya kizembe
 
Back
Top Bottom