GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi.
Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K na Mjichubuaji si tu hawaonekani bali hata hatutangaziwi Hatima zao wakati Wafuatiliaji wa Masuala ya Michezo ( hasa huu wa Tanzania ) tunajua kuwa Wameshauzwa na nyie mliokuwa nao hamjapata chochote kwakuwa mlipewa kwa Mkopo na pia Waliwagomea Klabuni Kwenu kutokana na Kudai Fedha zao na Mishahara.