GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Semeni wako wapi au mmewauza wapi.Kinakuuma nini sasa ???
Kama Mimi Mchuuzi wa Mayai nilivyokuharibu Wewe ulipokuja Maghettoni Kwangu mara tatu.Muuza mihogo alikuharibu kabisa
Wanaona aibu kusema ukweli kuwa siyo wao waliomuuza.Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi.
Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K na Mjichubuaji si tu hawaonekani bali hata hatutangaziwi Hatima zao wakati Wafuatiliaji wa Masuala ya Michezo ( hasa huu wa Tanzania ) tunajua kuwa Wameshauzwa na nyie mliokuwa nao hamjapata chochote kwakuwa mlipewa kwa Mkopo na pia Waliwagomea Klabuni Kwenu kutokana na Kudai Fedha zao na Mishahara.
Tunawajua wazee wa kubalance
Mbona feisal mliuliza humu na kumdhihaki?Wanayanga hatuna shida ya kujua