SAKINA DATOO apewa Uhariri Mkuu This Day na Kulikoni

SAKINA DATOO apewa Uhariri Mkuu This Day na Kulikoni

Status
Not open for further replies.

TreasureFred

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
64
Reaction score
3
Ndg wana JF taarifa za uhakika zilizonifikia kutoka HAIDAR PLAZA ni kuwa Mzee wa UZALENDO amemvua ukurugenzi wa Idara ya HABARI sakina Datoo na kumfanya MHARIRI MKUU WA KULIKONI NA THIS DAY.
 
Last edited by a moderator:
tANGAZO LIMETOLEWA NA GROUP MANAGING EDITOR WA SEMA USIKIKE,NA TAIFA LEO YALE MAGAZETI YA VIPEPERUSHI YA MENGI AMETANGAZA LEO KTK KIKAO CHA EDITORIAL CHA MCHANA,NA ALIPO ULIZWA NANI ATACHUKUA NAFASI HIYO ALIJIBU KUWA HAPO MWANZO HAIKUWEPO KWA HIYO MWENYEKITI AMESEMA HAKUNA ATAKAE CHUKUA NAFASI HIYO.
 
Sakina ni MHINDI sasa na ile listi ya mafisadi ya Mengi ni wahindi watupu ... lakini zaidi ya hayo kuna taarifa kuwa Mengi ana fikiri kuwa SAKINA ni mole mle ndani na kazi yake ni kupeleka taarifa kwa wahindi wenzie yaani Rostam et al

Kingine kinachomboa Mengi ni ile hijab isiyovuliwa 24/7 na sakina

lakini yeye ndiye bosi so atakavyoamua ndivyo huwa
 
kimsingi inamaanisha nini?

kaka/dada kimsingi ni kuwa mission accomplished mpango wa mengi ilikuwa kuimaliza mwananchi na sakina alipewa kazi hiyo amemaliza hana jipya baada ya kufanikisha mpango wa kuhamisha editors na news editors,na ripoters from mcl kuwaleta nipashe na guardin basi anakazi gani tena amemaliza na kumrudisha anapostahili
 
GT,

Thats too low of you man. Usifike huko bwana.
 
kaka/dada kimsingi ni kuwa mission accomplished mpango wa mengi ilikuwa kuimaliza mwananchi na sakina alipewa kazi hiyo amemaliza hana jipya baada ya kufanikisha mpango wa kuhamisha editors na news editors,na ripoters from mcl kuwaleta nipashe na guardin basi anakazi gani tena amemaliza na kumrudisha anapostahili

Ni Kaka.

Anayway but it doesnt work like that! Na inategemea feelings za Datoo.
 
Mzee wa Uzalendo bado anaghadhabu na "wadosi"
 
she's of Asian origin sasa did you seriously think kutakuwa hakuna tatizo wakati list ya bosi wake ya wala rushwa ni of Asian origin?

Naaamini muda si mrefu ata resign sasa who knows atakapokwenda lakini kule uhindini wenyewe wanamwona traitor labda anaweza kuwa press officer wa BAKWATA ambao ina way wako bankrolled na Mengi
 
Mengi haeleweki, sera zake za utumishi ni very vague, na hata ulipaji wake ni wa kubabaisha sana, Sakina katumiwa halafu kawa dumped kama walivyo wengine....
 
Hii imekaaje wadau!

ikaaje tena?

hiyo ndio hali halisi...mle ndani alifika point hata kazi hawezi kufanya vizuri kwani kila mmoja anajaribu ku accommodate ili asionekane ni racist lakini ukweli ni kuwa imani ilishakwisha yeye kama alivyosema jamaa hapo juu alitumiwa lakini end product ilipotoka mambo ndio ndio hayo mnayoyaona
 
Sakina ni MHINDI sasa na ile listi ya mafisadi ya Mengi ni wahindi watupu ... lakini zaidi ya hayo kuna taarifa kuwa Mengi ana fikiri kuwa SAKINA ni mole mle ndani na kazi yake ni kupeleka taarifa kwa wahindi wenzie yaani Rostam et al

Kingine kinachomboa Mengi ni ile hijab isiyovuliwa 24/7 na sakina

lakini yeye ndiye bosi so atakavyoamua ndivyo huwa

Kwa nini ufikiri hijab ya Sakina inamkera Mengi? Alipoajiriwa alikuwa hanayo? Huko ni kuogopa kivuli chako. Zaidi suala la yeye kuwa au kutokuwa mwenye asili fulani ni lako wewe na lisizuie restructuring kufanyika makazini...
 
ile hijabu ilikuwa inakuwa tolerated kwa muda tuu wakati wanaandaa ile miji dossier ya R.A lakini cha ajabu katika ile original listi iliyojaaa watu wa rangi zote ilikuwa ignored..Sakina badala ya kumvaa bosi wake akaanza kulalama chini kwa chini na habari ikafika kwa MANGI sasa kilichobaki ni kumfrustrate zaidi then mwenyewe ata submit RESIGNATION LETTER then khalas!

the bottom line she chose a side and she will have to live with that decision
 
"she's of Asian origin sasa did you seriously think kutakuwa hakuna tatizo wakati list ya bosi wake ya wala rushwa ni of Asian origin?

Naaamini muda si mrefu ata resign sasa who knows atakapokwenda lakini kule uhindini wenyewe wanamwona traitor labda anaweza kuwa press officer wa BAKWATA ambao ina way wako bankrolled na Mengi'
________________________

GT: Kwa muda mrefu Mengi amekuwa akiajiri Wahindi katika vitengo vya fedha
kwa hiyo hiyo unasema ya "list ya bosi wake" haipo, ni hisia/uzushi wako tu.

halafu nasikia mshahara wa mama huyu ni mkubwa zaidi ya 10m/- pm -- hakuna Mswahili aliyewahi kulipwa mshahara huo katika editorial dept. Naamini ktk cheo chake kipya hatapunguziwa mshahara huo kwa hivyo ajiuzulu kwa sababu gani?
 
Ndg wana JF taarifa za uhakika zilizonifikia kutoka HAIDAR PLAZA ni kuwa Mzee wa UZALENDO amemvua ukurugenzi wa Idara ya HABARI sakina Datoo na kumfanya MHARIRI MKUU WA KULIKONI NA THIS DAY.
Na aliyekwua Mhariri Mkuu wa Kulikoni na This day anakuwa nani?
 
Sakina ni MHINDI sasa na ile listi ya mafisadi ya Mengi ni wahindi watupu ... lakini zaidi ya hayo kuna taarifa kuwa Mengi ana fikiri kuwa SAKINA ni mole mle ndani na kazi yake ni kupeleka taarifa kwa wahindi wenzie yaani Rostam et al
Mhh!Mkuu, kama hayo yana ukweli wowote ndani yake basi Mzee wa Uzalendo anakazi kweliX2....ata-demote na kufukuza wengi sana mwaka huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom