TreasureFred
Member
- Feb 25, 2008
- 64
- 3
ALIPO ULIZWA NANI ATACHUKUA NAFASI HIYO ALIJIBU KUWA HAPO MWANZO HAIKUWEPO KWA HIYO MWENYEKITI AMESEMA HAKUNA ATAKAE CHUKUA NAFASI HIYO.
kimsingi inamaanisha nini?
Sakina ni MHINDI sasa na ile listi ya mafisadi ya Mengi ni wahindi watupu ... lakini zaidi ya hayo kuna taarifa kuwa Mengi ana fikiri kuwa SAKINA ni mole mle ndani na kazi yake ni kupeleka taarifa kwa wahindi wenzie yaani Rostam et al
Kingine kinachomboa Mengi ni ile hijab isiyovuliwa 24/7 na sakina
lakini yeye ndiye bosi so atakavyoamua ndivyo huwa
kaka/dada kimsingi ni kuwa mission accomplished mpango wa mengi ilikuwa kuimaliza mwananchi na sakina alipewa kazi hiyo amemaliza hana jipya baada ya kufanikisha mpango wa kuhamisha editors na news editors,na ripoters from mcl kuwaleta nipashe na guardin basi anakazi gani tena amemaliza na kumrudisha anapostahili
Kingine kinachomboa Mengi ni ile hijab isiyovuliwa 24/7 na sakina
Hii imekaaje wadau!
Sakina ni MHINDI sasa na ile listi ya mafisadi ya Mengi ni wahindi watupu ... lakini zaidi ya hayo kuna taarifa kuwa Mengi ana fikiri kuwa SAKINA ni mole mle ndani na kazi yake ni kupeleka taarifa kwa wahindi wenzie yaani Rostam et al
Kingine kinachomboa Mengi ni ile hijab isiyovuliwa 24/7 na sakina
lakini yeye ndiye bosi so atakavyoamua ndivyo huwa
Kwa nini ufikiri hijab ya Sakina inamkera Mengi? Alipoajiriwa alikuwa hanayo? Huko ni kuogopa kivuli chako. Zaidi suala la yeye kuwa au kutokuwa mwenye asili fulani ni lako wewe na lisizuie restructuring kufanyika makazini...
________________________"she's of Asian origin sasa did you seriously think kutakuwa hakuna tatizo wakati list ya bosi wake ya wala rushwa ni of Asian origin?
Naaamini muda si mrefu ata resign sasa who knows atakapokwenda lakini kule uhindini wenyewe wanamwona traitor labda anaweza kuwa press officer wa BAKWATA ambao ina way wako bankrolled na Mengi'
Na aliyekwua Mhariri Mkuu wa Kulikoni na This day anakuwa nani?Ndg wana JF taarifa za uhakika zilizonifikia kutoka HAIDAR PLAZA ni kuwa Mzee wa UZALENDO amemvua ukurugenzi wa Idara ya HABARI sakina Datoo na kumfanya MHARIRI MKUU WA KULIKONI NA THIS DAY.
Hii imekaaje wadau!
Ni nani huyu? Kiondo Mshana au mtu mwinginetANGAZO LIMETOLEWA NA GROUP MANAGING EDITOR WA SEMA USIKIKE,NA TAIFA LEO YALE MAGAZETI YA VIPEPERUSHI YA MENGI ....
Mhh!Mkuu, kama hayo yana ukweli wowote ndani yake basi Mzee wa Uzalendo anakazi kweliX2....ata-demote na kufukuza wengi sana mwaka huu.Sakina ni MHINDI sasa na ile listi ya mafisadi ya Mengi ni wahindi watupu ... lakini zaidi ya hayo kuna taarifa kuwa Mengi ana fikiri kuwa SAKINA ni mole mle ndani na kazi yake ni kupeleka taarifa kwa wahindi wenzie yaani Rostam et al