GT: Kwa muda mrefu Mengi amekuwa akiajiri Wahindi katika vitengo vya fedha
kwa hiyo hiyo unasema ya "list ya bosi wake" haipo, ni hisia/uzushi wako tu.
halafu nasikia mshahara wa mama huyu ni mkubwa zaidi ya 10m/- pm -- hakuna Mswahili aliyewahi kulipwa mshahara huo katika editorial dept. Naamini ktk cheo chake kipya hatapunguziwa mshahara huo kwa hivyo ajiuzulu kwa sababu gani?