Hata huko Google limebuma. This is a new and bombastic word which Prof. has created to bamboozle his listeners.Tafadhali sana hilo neno haliandikwi wala kutamkwa hivyo ila linasikika nna hiyo (kama kabudi alivyo litamka) wakati fulani akitoa hotuba nchini kenya wakati akiwa waziri wa mambo ya ncho n.k
Na alilitamka wakati akihitimisha kwa kusema forgive me for my "sakramkritorevibieji" words and perhaps for more that I didnt deserve to say.
Sasa waungwana kama kuna mtu Anaweza kunisaidia alitamka neno gani hapo naomba msaada wenu
π π π kizungu kilikuja na mashua au melikebu tusameheane.
Nitaweka link hapa chini
Mkuu umesikia speech yake? Labda nimeliandika ndivyo sivyo nilivyo lisikiaHata huko Google limebuma. This is a new and bombastic word which Prof. has created to bamboozle his listeners.
Ndio nimesikia speech yake. Hilo neno limeniacha hoi. Hapo anajaribu kumuiga Prof. Lumumba ila hawezi kumfikia.Mkuu umesikia speech yake? Labda nimeliandika ndivyo sivyo nilivyo lisikia
Kwakweli hata wakenya wenyewe walibaki kucheka tu πππππ
PLO ni habari nyingine yule ila yupo mnaijeria kwa misamiati ni hatari jina nmelisahau ngoja nitafiti
Nimemsikia huyo jamaa.. Ila kiingereza cha hawa jamaa wakati mwingine huwa wana vocabulary yao kabisa. Na hasa wakianza kuongea kwa kutumia kile kiitwacho "Pidgin English" hapo huambui kitu.Hebu sasa msikilize na kumtuzama hapa. Dakika ya pili itatosha kukuambia nini maana ya msamiati mgumu ktk mazungumzo