Sala hii ni ya kuwaombea wanawake

Halafu wanajifanyaga kukasirika kama kweli vile, wakati moyoni Anataka uvae upendeze.
Hahahaaaa. Ndio hapo sasa. Watuvumilie tu kwa kweli kwa sababu mwanamke kupendeza muhimu na kupendeza mpaka ujithaminishe mara tatu tatu je nimenoga baada ya hapo ndio tunakuwa tayari kwa safari.

Sio tuwe rafu tuuu
 
Baba atusaidie asiee,tuwe na uvumilivu
 
Jama ilikua siku ya wanaume

Leo nisiku ya wanawake .

BTW acha kutumia jina LA muumbaji wako ovyo ovyo namna hii[emoji115]
 
kwa kweli saa nyingine wanakera lakini ndo mama zetu na ubavu muhimu kwetu tuwavumilie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…