elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,110
- 1,625
Hapana lakini mengine muwe mnayatunza tu, mbona Siye tunayo mengi haruyasemagi kama nyie jamani.Kwani alicho chambua anawasingizia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana lakini mengine muwe mnayatunza tu, mbona Siye tunayo mengi haruyasemagi kama nyie jamani.Kwani alicho chambua anawasingizia?
He he poleeeYaani mi huwa sipendi mtu anipotezee muda hasa kwa sababu zisizo na msingi kama hizo alizo olodhesha mleta uzi
Hahahaaaa. Ndio hapo sasa. Watuvumilie tu kwa kweli kwa sababu mwanamke kupendeza muhimu na kupendeza mpaka ujithaminishe mara tatu tatu je nimenoga baada ya hapo ndio tunakuwa tayari kwa safari.Halafu wanajifanyaga kukasirika kama kweli vile, wakati moyoni Anataka uvae upendeze.
Baba atusaidie asiee,tuwe na uvumilivuHahahaaa. Ila ukishakuwa mwanamke kuna vitu haviepukiki hata iweje.
Hiyo namba moja, mbili zinanihusu sana na namba tano japo sio sanaa ila inanihusu pia hasa kukiwa na ile mitoko muhimu. Ila mtuzowee tu jamani kwa sababu sidhani kama sala itasaidia.
Dharura itajulikanaSawa je kama safari ya dharura so tutacheleweshana bure
Kuna baadhi sio vya kweli Mkuu. Kama hiyo namba 08 hadi tuwe na sababu.Kwani alicho chambua anawasingizia?
HaswaaHahahaaaa. Ndio hapo sasa. Watuvumilie tu kwa kweli kwa sababu mwanamke kupendeza muhimu na kupendeza mpaka ujithaminishe mara tatu tatu je nimenoga baada ya hapo ndio tunakuwa tayari kwa safari.
Sio tuwe rafu tuuu
Ikiwa kwa umpendaye lazima uvumilivu uwepo bana.Baba atusaidie asiee,tuwe na uvumilivu
Kwanza ukimjulia haikupi shida unampa taarifa mapema anajiandaa, muda ukifika yupo tayari. Wala haikusumbui kabisaIkiwa kwa umpendaye lazima uvumilivu uwepo bana.
Mi huwa nachukia kama sehemu tunayo enda ni mhimu kuliko mahitaji yako ya kupendezaHalafu wanajifanyaga kukasirika kama kweli vile, wakati moyoni Anataka uvae upendeze.
Sawa,ila nanyi pia mtuhurumie...cause u guys are complicated aiaeeIkiwa kwa umpendaye lazima uvumilivu uwepo bana.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]kama sehemu zipi labda?Mi huwa nachukia kama sehemu tunayo enda ni mhimu kuliko mahitaji yako ya kupendeza
Umeonaeee. Kweli kabisa my dear.Kwanza ukimjulia haikupi shida unampa taarifa mapema anajiandaa, muda ukifika yupo tayari. Wala haikusumbui kabisa
Kwenu ni zakawaidaPole sana ndugu na huwezi kuamini kuna baadhi kati ya hizo alizozitaja wenyewe tunaziona ni za kawaida kabisa yaani.
Kusema ni kawaida ya mwanadamu na kutunza siri ni kipajiHapana lakini mengine muwe mnayatunza tu, mbona Siye tunayo mengi haruyasemagi kama nyie jamani.