Sala Maalum kwa Kila Mwanachama wa JamiiForums – May You Be Uplifted and Transformed

Sala Maalum kwa Kila Mwanachama wa JamiiForums – May You Be Uplifted and Transformed

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Sala kwa WanaJF – Kwa Mafanikio, Nguvu na Ukombozi

Ee Mungu mwenye nguvu, mwenye huruma na anayejibu maombi, tunakuletea wana wa JamiiForums wote – kila mmoja wao aliye na kiu ya mafanikio, maarifa, amani, na mabadiliko katika maisha yao.

Baba, tunakuomba uwafungulie njia mpya – open doors of favor and breakthrough. Uvuke mipaka ya mawazo yao, ukakutanishe na watu sahihi, ideas sahihi, na resources sahihi za kuwainua kutoka walipo hadi wanakotamani kufika.

Tunakuombea kila aliyekata tamaa, aliyechoka, au anayepambana kimya kimya – restore their strength, renew their faith, na uwape moyo mpya wa ujasiri na uvumilivu.
Wale walio na ndoto kubwa lakini hawana mitaji, elimu au connections – ewe Bwana, be their divine connector and provider.

Tunakata minyororo ya kifungo chochote – ya kiuchumi, ya kihisia, ya kimwili, na ya kiroho – na kutangaza uhuru na ukombozi kamili. Let every burden be lifted, every fear silenced, and every enemy scattered.

Tunawaombea vijana walioko humu JamiiForums – wawe mfano wa uthubutu, hekima, na maendeleo.
Wafanye kuwa sauti ya mabadiliko, na majina yao yakatajwe mahali pa neema.

Tunatangaza biashara zao, kazi zao, familia zao, na afya zao kuwa salama na zenye baraka.

Katika jina la Yesu tunasali, tukiwaamini kuwa a new season is coming – a season of favor, strength and success kwa kila
mwanaJF.

Amina.
 
Yan naona X wangu kaniganda Sana ......
Hapo kwenye minyororo ya kihisia hapo ... Itabidi nikazie tena nikishtuka usiku ....
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom