Unajua katika ujio wa mitume kutoka mbali,ukifuatilia hadithi za bibilia,utakuta kuna mitume wametumwa kwenda kuokoa na wengine kwenda kurekebisha mambo fulanifulani.Sasa huyu sijui kwanza nimwite nani kwani nae hapa Arusha ni wakuja kutoka Tanga,na sijui katumwa kuja kuokoa au kuangamiza...!!Huyu si mtume ila ni shetani anahitaji damu za watu,kwani hana hata moja jema alilolisemaga na kulitenda hadi sasa.Amekua kuchocheo cha fujo.Sura yake haifanani na matendo yake na kauli zake hata.Labda leo atakuwa anahudhuria maazishi ya wapiganaji wetu sijui...Na akufika huko ataleta shida kubwa zaidi kwa wanaoijua sura yake hawataweza kuvumilia kumwona.Chamoto kitamwakia.