Salaam mama Maria (Chitanda),
mama uliyejaa kisirani,
umelaaniwa kuliko wanawake wote,
na CCM uliye mzao wa tumbo lake amelaaniwa.
Naheshimu mawazo yako na hisia zako juu ya huyu mama, lakini sijapenda kabisa njia uliyotumia kuwasilisha ujumbe wako.
Unatukwaza wengine kwa kutumia mfumo wa sala hiyo.
Ni hayo tu mjadala uendelee