Tupate kwanza maana ya Mshenzi:-
1. Ni mtu kutoka nchi ngeni, tamaduni, au kikundi kinachoaminika kuwa duni, si mstaarabu, au jeuri.
2. Mshenzi kulingana na kamusi ni mtu asiyejali mambo ya Ki-Mungu, asiyekuwa na staha, au adabu.
Kwa muktadha huo hii sala itakuwa ilitumika enzi za ukoloni ambapo ngozi nyeusi alichukuliwa kuwa MSHENZI. Shenzi sana hawa jamaa