Sala ya walevi wengine bwana cheki huyu akisoma zaburi

Bani Israel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
1,775
Reaction score
3,593
Pombe ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na pesa mfukoni, Nitakapopita katika vichochoro na mabonde ya vibaka, sitaogopa maana nitakuwa nimelewa chakari, kwenye mitaro ya maji machafu hunilaza, kando ya barabara huniongoza nisigongwe na gari nam nitakaa karib na baa milele. Amen.[emoji134]‍♂[emoji134]‍♂mungu saidia hao walev wote
 
Aiseeeeh,
Ngoja waje sasa hivi wapo bar!!
 
Imani ya uwepo wa Mungu kwa sasa inazidi kupotea ila mimi namwamini na sitamkejeli namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…