Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Pombe ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na pesa mfukoni, Nitakapopita katika vichochoro na mabonde ya vibaka, sitaogopa maana nitakuwa nimelewa chakari, kwenye mitaro ya maji machafu hunilaza, kando ya barabara huniongoza nisigongwe na gari nam nitakaa karib na baa milele. Amen.[emoji134]♂[emoji134]♂mungu saidia hao walev wote