Mhaya utamjua tu!Habari zenu wazeiya ,nilikuwa busy kidogo ,
Juzi nimepata fursa ya kutembelea Tanzania house in Sweden, na kumuona mzee mwenye Busara, Dr wilbroad slaa,
Kusema kweli ni mtu wa watu na ana upendo wa hali ya juu sana,
Mungu aendelee kumpa afya njema katika kuyakamilisha majukumu ya Taifa letu,
Pia nikarudi zangu Dnipropetrovisk nao wanawasalimu sana,
Asante
Hahaaa!jamani lohMhaya utamjua tu!
yupo sweden au canada mkuuu,vipi mwanae love ulimwona ,ntumie namba zake kama ulichukuaHabari zenu wazeiya ,nilikuwa busy kidogo ,
Juzi nimepata fursa ya kutembelea Tanzania house in Sweden, na kumuona mzee mwenye Busara, Dr wilbroad slaa,
Kusema kweli ni mtu wa watu na ana upendo wa hali ya juu sana,
Mungu aendelee kumpa afya njema katika kuyakamilisha majukumu ya Taifa letu,
Pia nikarudi zangu Dnipropetrovisk nao wanawasalimu sana,
Asante
sawa mkuu vipi love hajakuambia unsalimie aseπππ ni pm number zake,ila 2017 nliwasiliana na love akanambia wapo ontario canada so washahamia sweden mkuu π€π€Sweden
sawa mkuu vipi love hajakuambia unsalimie aseπππ ni pm number zake,ila 2017 nliwasiliana na love akanambia wapo ontario canada so washahamia sweden mkuu π€π€
sawa mkuu nimekuelewaDr slaa hayupo Canada ,yupo Sweden ni balozi wa Tanzania nchini Sweden,anawakilisha hata nchi za karibu ambazo hazina ubalozi wa Tanzania
Kama ulivyofanya, [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kafnayaje?