kyaibumba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 715
- 994
Habari zenu wazeiya ,nilikuwa busy kidogo ,
Juzi nimepata fursa ya kutembelea Tanzania house in Sweden, na kumuona mzee mwenye Busara, Dr wilbroad slaa,
Kusema kweli ni mtu wa watu na ana upendo wa hali ya juu sana,
Mungu aendelee kumpa afya njema katika kuyakamilisha majukumu ya Taifa letu,
Pia nikarudi zangu Dnipropetrovisk nao wanawasalimu sana,
Asante