Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
hahahah yupo kijana Erickb52 angekulipa! BTW, habari za huko utokako!Afu wewee! Yaani nisingekutia machoni kwenye hili li'uzi langu! Fine ningeokupiga ungenilipa huku una'swalow diclopenac !
Pole patna kwa kukutana na kigingi . . . muda ukifika nambie nikufungulie mwayego!
Mmmmhhhh????
The katibu i lav you much so!
Hivi bado waendelea kumpikia matoke yule mtu fododo?
Tumepigana vibuti kafulia yule lakini bado ana wivu.
Nakuja sasa hivi patna usikonde!muda wenyewe ulikuwa ni leo....lol!!!
Hujambo weye???
Judgement nani amekwambia wema unalipwa? Malipo ya wema yapo kwa mungu bwana. Mi nafurahi tu umerudi jamvini.
Bora nawe umeuliza! We Erickb52 umenogewa nini huko?We Erickb52 huko chooni ulipojificha husikii harufu?