Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Sijaelewa bado. Labda ukihamia ndo nitaelewa!Siamini kama hujaelewa! Ilhali nauelewa umahiri wako kitafsida! Semea tu umeelewa bali wajitoa fahamu! Unabaraguza . Nikisema "wazimu wangu waweza hamia kwako" ikushinde nini kuelewa?
Hamishia basi huo wazimu ili nipate jibu fasaha.Hilo hasaa ndo jibu! Ni jibu la maswali kumi takriban! Ingawaje Samaki haalikwi baharini.
Thanks alot
Hua napotelea kuitafuta nchi ya Maziwa na Asali !
Btw sijabahatika, nafanikiwa kufika nchi yenye Maziwa tu!
Unanishaurije kuipata ya Asali, ili nihamie mazima ?
Ze Katibu! Imekuaje tena? Nimekukosea nini? Mbona wan'tukana? Kama nimekukwaza si ungenambia niku'apolojii ?
Hee! Tena ya nguoni ! Haya bwana we ntukane tu! Ila mi sikurudishii !
Wala sitokushtaki kwa tajiri used !
Haya leo nipo na nyinyi!We kijana vp? Kwa nini daily unajibanza choon?
mie mzima sana. Sijui wengine wakojeHaya leo nipo na nyinyi!Vip mzima?
Wapi wewe unajifariji kwa kukimbiwa